Mke wa mtu ni Sumu ila Mume wa mtu ni Asali?
Kamata wote wale wape kesi ya ubakaji na aliyewatuma piga 30yrs without parole.

Jamii itaanza kujifunza taratibu kuact pale mambo kama haya yanapotokea.
 
Ujinga ni kitu cha ajabu sana unaweza kufanya kosa ambalo hukumu yake ni mbaya sana ila kutokana na kutokujua kwako na ujinga wako ukalichukulia ni kosa la kawaida jamaa wamejirekodi na kujitengenezea ushahidi wa kesi ambayo hukumu yake ni kifungo cha maisha.

Gang rape waliyoifanya inawezekana walidhani ni kitu simple tu kwakua hawajazoea kusikia watu wakihukumiwa kwa kosa hilo sasa waandae mawakili watakao wasaidia wasifungwe kifungo cha maisha.
 
Watu wako busy kuitafuta hiyo video..

Kadem kenyewe kanaonekana kadogo tu maskini, vijamaa vimemkomalia na vinakunywa bia na kuvuta mibangi, lazima dem alichoka sana..

Yalivyo mabwege hata afya zao hayajali.
Tukirudi kwenye mada.

Wanaume wakifanyiwa ukatili mwitikio ni mdogo sana sana, wengi huona hao makatili wako sahihi.
 
Ujinga ni kitu cha ajabu sana unaweza kufanya kosa ambalo hukumu yake ni mbaya sana ila kutokana na kutokujua kwako na ujinga wako ukalichukulia ni kosa la kawaida jamaa wamejirekodi na kujitengenezea ushahidi wa kesi ambayo hukumu yake ni kifungo cha maisha.

Gang rape waliyoifanya inawezekana walidhani ni kitu simple tu kwakua hawajazoea kusikia watu wakihukumiwa kwa kosa hilo sasa waandae mawakili watakao wasaidia wasifungwe kifungo cha maisha.
Daah unafikiria ni pombe, bangi au ni kitu gani kilifanya wafanye ujinga na kujirekodi achilia mbali kutupia mtandaoni.
 
Daah unafikiria ni pombe, bangi au ni kitu gani kilifanya wafanye ujinga na kujirekodi achilia mbali kutupia mtandaoni.
Ni ujinga walifanya hivyo kwa lengo la kumkomoa huyo binti lakin kumbe wanajimaliza
 
Ukisikia watetezi wa haki za binadamu hao ni watetezi wa haki za wanawake na watetezi wa usawa hao ni watetezi wa upendeleo kwa wanawake. Mifumo ya kisheria na kijamii ni hatari sana kwa mwanaume kama usipoji-adjust kitaalamu.
 
Mwanamke tena (afande) , amekuwa mstari wa mbele kumdhalilisha na kumvua utu mwanamke mwenzake, achukuliwe hatua kali za kisheria. Kama yeye mwanamke angeenda kumpiga mme wake, rubbish.
 
Back
Top Bottom