Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Mtu mzima anabebwa?Pole sana kwa huyo binti, Hao watuhumiwa sheria ichukue mkondo wake
Hili tukio liwe Funzo kwa wale wanaopenda kubeba waume za watu
Daah unafikiria ni pombe, bangi au ni kitu gani kilifanya wafanye ujinga na kujirekodi achilia mbali kutupia mtandaoni.Ujinga ni kitu cha ajabu sana unaweza kufanya kosa ambalo hukumu yake ni mbaya sana ila kutokana na kutokujua kwako na ujinga wako ukalichukulia ni kosa la kawaida jamaa wamejirekodi na kujitengenezea ushahidi wa kesi ambayo hukumu yake ni kifungo cha maisha.
Gang rape waliyoifanya inawezekana walidhani ni kitu simple tu kwakua hawajazoea kusikia watu wakihukumiwa kwa kosa hilo sasa waandae mawakili watakao wasaidia wasifungwe kifungo cha maisha.
Ni ujinga walifanya hivyo kwa lengo la kumkomoa huyo binti lakin kumbe wanajimalizaDaah unafikiria ni pombe, bangi au ni kitu gani kilifanya wafanye ujinga na kujirekodi achilia mbali kutupia mtandaoni.
Najua tuWe umejuaje