Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Nimejitahidi kuwa msomaji tu nimeshindwa! Naomba nikuulize, kama kweli alisomeshwa na wazazi wake hivyo hela yake ni kujali wazazi wake, je mume alisomeshwa na nani? Je, yeye hana haki ya kuwahudumia wazazi wake?
Mwanaume ni kichwa cha familia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. nyie km vitoto vya form 6[emoji87][emoji85]... mie sipendi kelele... in anymeans mie aipend kbs makelele ila.siku nikiamuaga kusema anawekaga mkono.km.mic hvz narap weee namaliza..ila kubwabwaja siwez..ila huwa nataman mie ningekuwa na nguvu za kupigana..kila week ningekuwa namfumua sana sana

Mie naongea very rarely
Sana akiniudhi
Halafu huwa naongea vya kumchoma

Hivyo huwa anatafuta njia mbadala nisiongee

Kupigana hapana aisee
 
Kaeni na viongozi wa dini mzungumze nao na wawaombee. Shetani yupo kazini hapo. Kama hamuamini katika dini tafuteni wasuluhishi watu wenu wa karibu wawasaidie. Mkiongea hayo matatizo yenu na watu wa karibu huyo mke wako atabadilika mwenyewe maana atapata aibu kutokana na ushauri mtakaopata.
 
Muda mwingine unamwangalia tu unatafuta Fanta passion ya baridiii au unaongeza ice cubes

Unakunywa huku unamwangalia hasira zitaondoka automatically

😂😂😂😂😂😂👊👊leo shost umegeuka mlokole 😂😂eti nachekaaw
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109][emoji109]leo shost umegeuka mlokole [emoji23][emoji23]eti nachekaaw

Hahahaa ujue hapo ukijifanya kupiga vyombo utajikuta unaanzisha upya na hamtamaliza
Bora unywe Fanta yako tu
 
Iko hivi mwaka 2008 tulibahatika kupata mtoto bila ndoa 2014 tukapata mwingine bila ndoa ila mwaka 2016 tukabariki ndoa na sasa tunaishi kwenye ndoa ya watoto watatu sasa hivi huyu mke amekuwa na maneno makali ya kuchoma moyo na mwili
mfano

1.nilimwambia jana mbona nguo chafu na hapo jikoni hapako vizuri na nasema hivyo coz kulikuwa ma wageni watakuja kututembelea akaniambia mwanaume wewe una gubu

2.ananiambia nimemweka kifungoni nimemfanya mjinga sana kwa mda mrefu ila sasa ninajitambua
ananiambia hivyo baada ya kumwambia tuweke mahesabu sawa kati ya fedha take na yangu kwa ajili ya maandalizi ya watoto shule january alikuwa mkali kama pilipili na hajawahi kuniambia maneno aliyoniambia
mfano;

Miaka yote pesa yangu sina uhuru nayo nimesomeshwa na wazazi wangu kwa ajili ya faida yao na siyo kwako na matoto yako kwa ujue utawapeleka vipi matoto yako shule pesa yangu achana nayo kabisa kama unataka uje uniombe
hapa nikamjibu haitatokea kumwomba kama amechoka watoto anipe wanangu

3.Ongeza hawezi mapenzi ya kubembelezana bembelezana sijui nikupetipeti sijui nikulambe wapi ukiyataka hayo katafute wenye nayo kwangu hutoyapata na ukitaka kaoe kabisa ila ujue watoto wao na akaongeza siogopi kuachwa hata kidogo na ungejua kilichopo moyoni mwangu(kwake mke) ungenyamaza tu

Huwa nina kawaida ya kumsaidia kazi za ndani kama kuchota maji,kufua,kupika, sasa jana kaniambia wala sitaki unisaidie vikazi unavyonisaidia.

then wenzangu mlioko kwa ndoa na mna watoto siyo chini ya watatu nguo zenu zinanyooshwa na wake zenu au nyie wenyewe,viatu au makobazi yanafuta na kupakwa ranging na mke au nyie wenyewe.
je maji ya kuoga mnapeleka wenyewe au mnapelekewa mimi nafanya vyote hivyo mwenyewe .

Anasema hayo yote then asubuhi analia tu na kusema yaishe nashindwa hata kuelewa anataka nini anafikiri nini na matarajio yake nini
ana tiwa nje huyo kabisaaaa
 
Hahahaa ujue hapo ukijifanya kupiga vyombo utajikuta unaanzisha upya na hamtamaliza
Bora unywe Fanta yako tu
😂😂😂😂👊👊👏👏🔥🔥🔥...aged with grace...thts nice!mie nikipiga masanga huwa nakuwa na dharau sana sana 😊..naweza kukaa kimya tu nikawa nakushusha tu😂😂...
 
unafik siujui aisee kila mtu na kuamini kwake babu we
Ni ujinga kufikiri wewe mwanamke umesomeshwa ili ukahudumie wazazi wako! Je mwanaume siyo binadamu? Kama wewe umesomeshwa na wazazi wako uwahudumie na mwanaume amesomeshwa na wazazi wake ahudumie wazazi wake! Kwa mantiki hiyo nani atahudumia familia yao? Michepuko?

Nikueleze mzazi lazima asomeshe watoto alowazaa kwa raha zake ( mwanamke wazazi wake na mwanaume wake pia). Hivyo wewe na mwanaume wako ni jukumu lenu kuhudumia watoto wenu ambao kwa raha zenu mmewaleta duniani! Jukumu lenu si kuhudumia wazazi ila watoto wenu! Ni mwanamke mpuuzi kama zenc anayeona kazi yake kuhudumia wazazi baadala ya watoto wake aliochekecha kiuno kuwazaa
 
Ni ujinga kufikiri wewe mwanamke umesomeshwa ili ukahudumie wazazi wako! Je mwanaume siyo binadamu? Kama wewe umesomeshwa na wazazi wako uwahudumie na mwanaume amesomeshwa na wazazi wake ahudumie wazazi wake! Kwa mantiki hiyo nani atahudumia familia yao? Michepuko?

Nikueleze mzazi lazima asomeshe watoto alowazaa kwa raha zake ( mwanamke wazazi wake na mwanaume wake pia). Hivyo wewe na mwanaume wako ni jukumu lenu kuhudumia watoto wenu ambao kwa raha zenu mmewaleta duniani! Jukumu lenu si kuhudumia wazazi ila watoto wenu! Ni mwanamke mpuuzi kama zenc anayeona kazi yake kuhudumia wazazi baadala ya watoto wake aliochekecha kiuno kuwazaa

Siku hizi wanaume wanataka haki sawa na wanawake

Nawachek nasema hihihiii
 
Back
Top Bottom