Cha hayo yote ni baadhi yetu sisi wanaume, mpaka issue ya makalio makubwa chanzo ni wanaume.Hivi nyinyi mnataka TFDA ifanye nini??? kwani hawajui madhara ya mikorogo hiyo???
Tujuilize kwa nini kina dada zetu wanapenda sana kutumia hiyo mikorogo?
Jee haiwezekani chanzo cha yote haya ni sisi midume na kasumba zetu za kupenda kina dada wanaong'ara????
Siingilii mtazamo wako kabisaa, mengine yote umesema vyema ila hapo kwenye kuongeza chura utapotea. .......ninavyoifahamu hiyo chura yako, inatosha kabisaaaaa.mimi siamini kipodozi chochote hapa bongo
ndo maana natengeneza mafuta yangu ya nazi kila week najipaka
unakuta mtu kachanika sijui michirizi utadhani nyoka mjane wa miaka mia
bora nionekane mshamba
natamani kuongeza chura wangu kidogo maana huku mjini msingi chura ila nitafanya tu mazoezi
😀 harufu vepeeHuyo alivyo jichubua ukikaa nae karibu huwa wanatoa harufu flani kama mzoga! TFDA sijui wanafanya kazi gani, Bidhaa za Tanzania huwa zinaingia nchini zikiwa na nembo ya tbs kabisa!!
Mi binafsi sivutiwi na mwanamke aliejichubua, maana nishakutana nao najua walivyo ndani.Duh!
Una hasira nao.
Pole sana.
ila vyanzo na visa vingi vya wanawake kujichubua nadhani ni wanaume.
Ila mie kwa uchunguzi wangu, naona wanawake wa mitaa ya fujo ie Mbagala, Manzese, Tandika, Tandale ndo wanaongoza.
Ila ni nadra sana kwa mwanamke wa Masaki au Oysterbay au huku Masaiti kumkuta amejichubua.
Huwa mpaka leo bado sijapata jibu
ahahaaa hata wa wema na snura yaani hawa vyura wa dar hawaeleweki kabisa! kwani wametokea mto gani etiYule atakuwa chura wa mvua za Vuli.
Kuna dada mmoja alisema kuwa aliwahi kumbinya Wema makalio...makalio yalibonyea.
Ila Muna chura wake wa godoro la Comfy.
Chura leo yuko tako hili, kesho tako lile
kuongeza chura kwa zoezi nayo ina ubaya mkuu?Siingilii mtazamo wako kabisaa, mengine yote umesema vyema ila hapo kwenye kuongeza chura utapotea. .......ninavyoifahamu hiyo chura yako, inatosha kabisaaaaa.
hivi ana kioo huyu?View attachment 395555 Story bila kapicha, hainogi
ona balaa hilo..View attachment 395555 Story bila kapicha, hainogi
Hiyo yako inatosha mkuu, achana na haya mambo ya mwendokasi.kuongeza chura kwa zoezi nayo ina ubaya mkuu?
Tatizo langu mimi ni kwamba tunafanya mambo ya kipuuzi halafu tunamlaumu third party. TFDA mara nyingi inatuelimisha kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu madhara ya mikorogo pamoja na madawa menginKama kila binadamu wana jua madhara ya vitu wanavyo tumia basi hamna haja ya kuwa na TFDA kwasababu wana pokea mishahara ya walipa kodi Pasipo kufanya kazi!!
kwnza ameng'aa kawashinda hata wazungu mpka anatsha kawa kama nyau la kizungu plus anavojipaka hyo miMake up everytme everyday ni kituko cha karne.
Kabisa.Mi binafsi sivutiwi na mwanamke aliejichubua, maana nishakutana nao najua walivyo ndani.
na baada ya miaka ka ndo umeoa atavyoanza kuharibika uso utatamani umuache
why??Mmmmh, uko vzr my dada: "kwnza ameng'aa kawashinda hata wazungu mpka anatsha kawa kama nyau la kizungu plus anavojipaka hyo miMake up everytme everyday ni kituko cha karne."
wacha wivu mjini msingi chura siku hiziHiyo yako inatosha mkuu, achana na haya mambo ya mwendokasi.
Uko vzr!why??
Kila la kheri mkuu [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]wacha wivu mjini msingi chura siku hizi
Bora hata wewe umejiuliza wanakunyaje...mie huwa najiuliza wakati wa lile tendo, ile style ya kifo cha mende, na mikorogo ile na mtako mbubujiko ule....mwanaume anapitaje?ahahaaa hata wa wema na snura yaani hawa vyura wa dar hawaeleweki kabisa! kwani wametokea mto gani eti
chura analegea mpaka mguuni?
hivi wanakunyaje kina wema?