TZ yetu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 375
- 198
Cha hayo yote ni baadhi yetu sisi wanaume, mpaka issue ya makalio makubwa chanzo ni wanaume.Hivi nyinyi mnataka TFDA ifanye nini??? kwani hawajui madhara ya mikorogo hiyo???
Tujuilize kwa nini kina dada zetu wanapenda sana kutumia hiyo mikorogo?
Jee haiwezekani chanzo cha yote haya ni sisi midume na kasumba zetu za kupenda kina dada wanaong'ara????