Mke wa zamani wa Ricardo Kaka afichua sababu iliofanya waachane ni kuwa Kaka alikuwa mkamilifu sana

20240414_121611.jpg

Mke wa zamani wa staa wa soka wa Brazil Ricardo Kaka, Caroline Celico amefichua siri ya kuachana kwao kuwa mumewe huyo wa zamani alikuwa mwaminifu kupitiliza ndio maana bibie aliomba talaka.

"Kaka hakuwahi kunisaliti, alinifanyia vizuri, alinipa familia nzuri, lakini sikuwa na furaha, kuna kitu kilikosekana. Tatizo lilikuwa ni moja tu, alikuwa ni mwanaume mkamilifu mno kwangu, umalaika wake ulinishinda nikaomba talaka" – Caroline.

Celico na Kaka walikuwa wapenzi tangu utotoni na walidumu kwenye ndoa kwa miaka 10 na kupata watoto wawili kabla ya kutalakiana mwaka 2015 ambapo Caroline ndiye aliyetaka talaka hiyo.

Wanaume mpo hapo.

CP-EastAfricaTV
 
Wanataka nini hawa watu?.
Jamaa kajitahidi kuwa mwaminifu na kumpenda mkewe but mmama kaona huyu siyo😁😆😂!.

Ukiangaika kumfanyia kile anachotaka kwa gafla anabadirika, huyu kiumbe hajawahi kueleweka asee, daa!.
 
Mwanamke ni mchepukaji, akaona asimuuwe mwanaume, njia ni kuomba talaka ili awe huru zaidi na wanaume wengine. Wanawake wana matatizo, usipomfikisha anapotaka ni shida. Kama hapati raha ndani ya nyumba, ataifuata raha nje.
 
Wakati nakua kua, Mungu akitaka kumuathibu binti wa pale kijijni kwetu anamleta mikono mwagu.
I was too ruthless towards this Gender na ajabu hali hiyo ilinifanya niwe napata show za Bure toka kwao.
Vilio vilikuwa havikauki Ngwea kwangu hadi nikafukzwa home.
Hawa viumbe wanataka uwa mchanganyiko ndiyo wa Naelewa somo.
 
Mke wa zamani wagwiji wa soko toka Brazil KAKA amefichua kuwa aliachana na supastaa huyo kwa sababu alikuwa "mkamilifu sana".

Nyota huyo wa zamani wa Brazil na Real Madrid alifunga ndoa na mchumba wa utotoni Caroline Celico mwaka wa 2005. Walidumu katika ndoa kwa muda wa usiozidi miaka kumi kabla ya kuachana mwaka wa 2015. Wapenzi hao wa zamani walikuwa na watoto wawili pamoja lakini Caroline hakuwa na furaha na sasa amefichua kuwa alihisi kuna kitu kinakosekana.

Alisema: "Kaka hakuwahi kunisaliti, alinitendea vizuri, alinipa familia nzuri, lakini sikuwa na furaha, kitu kilikosekana. "Tatizo lilikuwa, alikuwa mkamilifu sana kwangu." Sosholaiti huyo wa Brazil alijiunga na kanisa la Kaka baada ya kuoana na baadaye akawa mchungaji wa Kiinjilisti lakini akaacha mwaka wa 2010. Kisha alizindua shirika la upendo la Horizontal Love, ambalo hutoa vifaa vya chakula, usafi, ujenzi na elimu kwa mashirika yasiyo ya kiserikali ya Brazili Caroline, 36, alifunga ndoa na Eduardo Scarpa Julião mwaka wa 2021 wanandoa sasa wanatarajia mtoto wao wa kwanza.

Kaka pia alipata mapenzi tena na mpenzi wake Carolina Dias ambaye alianza kuchumbiana mwaka wa 2017. Wawili hao walichumbiana mapema mwaka huo na mchezaji huyo wa zamani wa Ballon d'Or akionyesha furaha yake katika hatua iliyofuata katika uhusiano wao Alitangaza habari hiyo kwenye mitandao ya kijamii akisema: “Umenifanya kuwa mtu mwenye furaha zaidi duniani! "Naahidi kukurudisha na kukufanya kuwa mwanamke mwenye furaha zaidi duniani. Nakupenda." Wawili hao pia wana binti wa mwaka mmoja anayeitwa Sarah. Kaka alikuwa na kazi nzuri ambayo ilimfanya kushinda mataji tisa makubwa, likiwemo Kombe la Dunia akiwa na Brazil mwaka wa 2002. Pia alishinda Serie A na Ligi ya Mabingwa akiwa na AC Milan, pamoja na La Liga akiwa na Real Madrid.

View attachment 2962382

NB.
BADO HAIJAJULIKANA WANAWAKE WANATAKA MUME WA AINA GANI.

Cc. All football
Aseeee
 
Naam
 
Jamaa hata dogy style alikua hapigi
 
Back
Top Bottom