Mke wa zamani wa Ricardo Kaka afichua sababu iliofanya waachane ni kuwa Kaka alikuwa mkamilifu sana


Mke wa zamani wa staa wa soka wa Brazil Ricardo Kaka, Caroline Celico amefichua siri ya kuachana kwao kuwa mumewe huyo wa zamani alikuwa mwaminifu kupitiliza ndio maana bibie aliomba talaka.

"Kaka hakuwahi kunisaliti, alinifanyia vizuri, alinipa familia nzuri, lakini sikuwa na furaha, kuna kitu kilikosekana. Tatizo lilikuwa ni moja tu, alikuwa ni mwanaume mkamilifu mno kwangu, umalaika wake ulinishinda nikaomba talaka" – Caroline.

Celico na Kaka walikuwa wapenzi tangu utotoni na walidumu kwenye ndoa kwa miaka 10 na kupata watoto wawili kabla ya kutalakiana mwaka 2015 ambapo Caroline ndiye aliyetaka talaka hiyo.

Wanaume mpo hapo.


CP-EastAfricaTV
 
Wanataka nini hawa watu?.
Jamaa kajitahidi kuwa mwaminifu na kumpenda mkewe but mmama kaona huyu siyo😁😆😂!.

Ukiangaika kumfanyia kile anachotaka kwa gafla anabadirika, huyu kiumbe hajawahi kueleweka asee, daa!.
 
Mwanamke ni mchepukaji, akaona asimuuwe mwanaume, njia ni kuomba talaka ili awe huru zaidi na wanaume wengine. Wanawake wana matatizo, usipomfikisha anapotaka ni shida. Kama hapati raha ndani ya nyumba, ataifuata raha nje.
 
Wakati nakua kua, Mungu akitaka kumuathibu binti wa pale kijijni kwetu anamleta mikono mwagu.
I was too ruthless towards this Gender na ajabu hali hiyo ilinifanya niwe napata show za Bure toka kwao.
Vilio vilikuwa havikauki Ngwea kwangu hadi nikafukzwa home.
Hawa viumbe wanataka uwa mchanganyiko ndiyo wa Naelewa somo.
 
Aseeee
 
Mwanamke ni mchepukaji, akaona asimuuwe mwanaume, njia ni kuomba talaka ili awe huru zaidi na wanaume wengine. Wanawake wana matatizo, usipomfikisha anapotaka ni shida. Kama hapati raha ndani ya nyumba, ataifuata raha nje.
 
Naam
 
Jamaa hata dogy style alikua hapigi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…