Mke wako huwa anaoshwa miguu na kijana wake wa kutengeneza kucha?

Badili Tabia, umeanza lini hii tabia?[emoji23][emoji23]
 
mbona nyie mnatembea na wale vidada vinavowafanyia scrub au massage
 
Mke wa mtu mwenye kujiheshimu hawezi kwenda kuonshwa miguu ,

Kuoshwa miguu ni dalili ya wazi ya kuvaa nguo fupi kimini lengo lake ni kuonyesha mguu wa watu kupata soko hivyo ni dalili za umalaya na sio kabisa katika kundi la urembo
basi na nyie msiende kufanyiwa massage
 
 
Wape vidonge vya maana wamezidi kukariri maisha
 
Hapa kila mtu mke wake hapaki kucha rangi wala haoshwi miguu🤣🤣 sijui wale wakinadada na kina mama tunaokutana pale kwa Lande weekend ni wake za nani!!!! Kama mwanamke ni msaliti ni msaliti tu
 
mbona nyie mnatembea na wale vidada vinavowafanyia scrub au massage
Scrub ya usoni? Hiyo haiketi ashki. Ukiona mwanaume mwenye mke anaenda kupewa massage ujue mke wake kafeli pakubwa. Hilo lilitakiwa alifanye mke.
 
Mke anayeshikwa shikwa mwili wake na wanaume wengine huko mtaani hafai kuwa mke.

Huyo anatakiwa kupewa talaka aishi peke yake ili ashikweshikwe vizuri na kwa uhuru.
 
Wasiwasi wangu ni ujio wa waosha ku.ma....hayo mengineyo kawaida tu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tena basi anaoshewa hadharani

Siku asipokuja tena kuosha ujue tayari....lkn raha wanatekenyaga sana km hivi....halafu unamwambia siyo hivo anageuza hivi...duuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…