Mke wako huwa anaoshwa miguu na kijana wake wa kutengeneza kucha?

Mke wako huwa anaoshwa miguu na kijana wake wa kutengeneza kucha?

Waosha miguu oyeee......


Yaani wanaanza vizuri vere purofesheno...kusugua miguu...kucha...kuzikata...


Halafu taratiiiibu anaanza kutafuta angle yako.....

Atamasage nyayo.....

Atapandq mpaka kwenye kifundo huku anakuchora kwa chaaati

Atamasage supu zote na ugoko.....huku anakuzooo.

Kisha atakuwa anapita pita mpaka mwanzo wa mapaja........

Kwisha habari yake......... yaani mpaka hapo anajua wapi panamkoleza mteja wake.....
Badili Tabia, umeanza lini hii tabia?[emoji23][emoji23]
 
Oyaaa, kuna wanawake wamekuwa wameyakuta hayo maisha ndani ya familia .

Suluhisho.

Mwanaume nenda kwa hao wapaka rangi na Waosha miguu.., akuelekeze, ukanunue mazaga mazaga yaani mavifaa yao.

Alafu Anza kuwa unamuosha mkeo miguu angalau mara mbili kwa wiki na kumpaka Rangi, angalau kila wiki mara moja.

Swali ni je, ukiwahi kufa na umemzoesha itakuaje?

Jibu ni kwamba, kama ni kuliwa, hata ukiwa hai analiwa tu bila shida.

Mwisho...Hamna watu wanaokula papuchi za bureeee kama vijana waosha miguu na kucha.
mbona nyie mnatembea na wale vidada vinavowafanyia scrub au massage
 
Mke wa mtu mwenye kujiheshimu hawezi kwenda kuonshwa miguu ,

Kuoshwa miguu ni dalili ya wazi ya kuvaa nguo fupi kimini lengo lake ni kuonyesha mguu wa watu kupata soko hivyo ni dalili za umalaya na sio kabisa katika kundi la urembo
basi na nyie msiende kufanyiwa massage
 
Waosha miguu oyeee......


Yaani wanaanza vizuri vere purofesheno...kusugua miguu...kucha...kuzikata...


Halafu taratiiiibu anaanza kutafuta angle yako.....

Atamasage nyayo.....

Atapandq mpaka kwenye kifundo huku anakuchora kwa chaaati

Atamasage supu zote na ugoko.....huku anakuzooo.

Kisha atakuwa anapita pita mpaka mwanzo wa mapaja........

Kwisha habari yake......... yaani mpaka hapo anajua wapi panamkoleza mteja wAKE
 
Nyie nae.

Mnadhani ni rahisi Sana kuliwa kuwa ovyo eeeh?

Mwanamke lazima uwe na limits na ujielewe.

Unaenda kuosha miguu na micro mini unatarajia nini ? Si ataosha mpaka sketi/gauni inapofikia? Na ukikaa vibaya si atachungulia na nature ya wanaume ya kujaribu si atarusha ndoano?

It all comes back to your woman. What cloth is she cut from.

Kama ni wa kuliwa ovyo hata sio lazima akaoshe kucha Ili apate nyege....hapo tu jirani na home panamtosha.

Isitoshe foot spa zipo nyingi na sio zote wanahudumia wanaume so na wewe utachagua aende wapi.
Wape vidonge vya maana wamezidi kukariri maisha
 
Hapa kila mtu mke wake hapaki kucha rangi wala haoshwi miguu🤣🤣 sijui wale wakinadada na kina mama tunaokutana pale kwa Lande weekend ni wake za nani!!!! Kama mwanamke ni msaliti ni msaliti tu
 
mbona nyie mnatembea na wale vidada vinavowafanyia scrub au massage
Scrub ya usoni? Hiyo haiketi ashki. Ukiona mwanaume mwenye mke anaenda kupewa massage ujue mke wake kafeli pakubwa. Hilo lilitakiwa alifanye mke.
 
Mkeo huwa anaoshwa miguu kisha kukaushwa na wataalamu wa kusafisha kucha?

Hii huduma imekuwa maarufu sana kwa wamama wa mjini, na wengi wao huwa wanapata huduma waume zao wakiwa kazini.

Mdau unasemaje juu ya hii huduma?


Zaidi soma:
Mke anayeshikwa shikwa mwili wake na wanaume wengine huko mtaani hafai kuwa mke.

Huyo anatakiwa kupewa talaka aishi peke yake ili ashikweshikwe vizuri na kwa uhuru.
 
Wasiwasi wangu ni ujio wa waosha ku.ma....hayo mengineyo kawaida tu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tena basi anaoshewa hadharani

Siku asipokuja tena kuosha ujue tayari....lkn raha wanatekenyaga sana km hivi....halafu unamwambia siyo hivo anageuza hivi...duuu!!!
 
Back
Top Bottom