Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

Hahaha kwa hiyo umependekeza aje mkuu?😁😁😁

Ûkienda kuwinda ukiona windo utaangalia yafuatayo
1. Aliyenona lakini unammudu.
2. Mbinu na shabaha ya kumpata.
3. Eneo na Muda WA kushambulia
4. Eneo la kujilia windo Lako pasipo bughuza za mafisi.
5. Ushamdaka Sasa unakula, hakikisha unakula minofu na vitu nyeti kama maini, Moyo, damu, na stake upesiupesi ili hata mafisi yakitokea yakute ulishakula vya maana vyote umebakiza mifupa.

6. Nenda zako mtoni ukanywe Maji.
7. Tafuta kivuli upumzike
 
Back
Top Bottom