Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #141
Mno mkuu😁😁😁 kwa sasa mwambie tu sina hata buku.
Bantu au Leajay watakuchukua. Vocha wanazo kama zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mno mkuu😁😁😁 kwa sasa mwambie tu sina hata buku.
Úkiwa na Mimi lazima ujulikane
😀Mimi binti kimoso nimemfahamu Ila sikujua Kama ndo mke wako
Kwa Bantu Lady nitakua mshika mapembe tu au chawa 😁😁😁😁😁Bantu au Leajay watakuchukua. Vocha wanazo kama zote
Kwa Bantu Lady nitakua mshika mapembe tu au chawa 😁😁😁😁😁
😁😁😁Hapana naogopa mkuu , ni sawa na utake kuivamia iran uikalie kimabavu😁😁Kwa nini? Mwanamke NI Mwanamke tuu. Usimuogope
😁😁😁Hapana naogopa mkuu , ni sawa na utake kuivamia iran uikalie kimabavu😁😁
Unaniponza mkuu😁😁😁😁Lazima ujifunze kutawala na kutiisha Vitu vinavyoogopwa na wengi.
Mwanamke NI Mwanamke tuu. Unahitaji ujasiri na Àkili tuu kumuendesha
😃😃 Alafu ukifika unakuta kumbe NI Kwa Lucas Mwashambwa unabaki iiih baghoshaKwa bi kiuno
Toa ya mwisho mangi 🥺
Simwogopi hata kidogo ,sema tu mimi na itikadi za dini hapana mkuu.😃😃
Unamuoga Ostadhat?
Tenà WA aina hiyo ndîo Wazuri kweli usitishwe na mikwala yao
Ngoja nifanye uchunguzi hapa tulipopanga familia nane panajulikana kwa mama au baba nani.😅😅😅😅Kwangu wanajulikana Watoto wangu zaidi kuliko yoyote....
Simwogopi hata kidogo ,sema tu mimi na itikadi za dini hapana mkuu.
Hahaha kwa hiyo umependekeza aje mkuu?😁😁😁Hizô itikadi za Dini NI huku mitañdaoni na mitaani ukimkoroga Vizuri anasahau kîla kitu
Robert Heriel Mtibeli huyu ndo yule au mwingine?Ok. I'm not good chef, nafikiri Upendo
Hahaha kwa hiyo umependekeza aje mkuu?😁😁😁
Robert Heriel Mtibeli huyu ndo yule au mwingine?