Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sema kwa wanawake wazinzi kwao haiwaumizi so sio kwa wanawake wote! Mengine yanayokazwa ovyo huwa hayawaziUsaliti unaondoa mapenzi aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kwa wanawake wazinzi kwao haiwaumizi so sio kwa wanawake wote! Mengine yanayokazwa ovyo huwa hayawaziUsaliti unaondoa mapenzi aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndoa ni ngumu jamani. Acheni tu!
Mara nyingi wanawake huwa tunawaza watoto, anaona kuwa kuliko kuanza kuwatangisha watoto ni bora asucrifice furaha yake ili watoto wakue kwenye familia wakilelewa na baba na mama. Bila kufikiria kuwa hata watoto kukua katika mazingira ya aina hiyo yanawaathiri vilevile.Sasa hapo si anajikomoa mwenyewe?
Mimi siwezi kuwa mfungwa wa hiari, ikiwa nimeharibu ntajishusha na kubadilika kabisa, nikiomba msamaha muda mrefu, nikampa muda wa kutosha apone lkn ikashindikana, ninamwachia nyumba nasepa nikaanze moja, mtakuja kuuana bure au yeye nanpa uhuru akatafute aliyesahihi kwakeInakuwa point of no return kama ni mke ndio dah! Inakuwa balaa
Yaani!!
Muache...
Yes ukilea watoto katika mazingira hayo watakuwa na sumu mbayaMara nyingi wanawake huwa tunawaza watoto, anaona kuwa kuliko kuanza kuwatangisha watoto ni bora asucrifice furaha yake ili watoto wakue kwenye familia wakilelewa na baba na mama. Bila kufikiria kuwa hata watoto kukua katika mazingira ya aina hiyo yanawaathiri vilevile.
Yeah kukimbia hilo ni swala ambalo lipo akilini mwangu haswaa! Siwezi vumilia vituko vya mke ambaye hana habari na mimiMimi siwezi kuwa mfungwa wa hiari, ikiwa nimeharibu ntajishusha na kubadilika kabisa, nikiomba msamaha muda mrefu, nikampa muda wa kutosha apone lkn ikashindikana, ninamwachia nyumba nasepa nikaanze moja, mtakuja kuuana bure au yeye nanpa uhuru akatafute aliyesahihi kwake
KabisaYeah kukimbia hilo ni swala ambalo lipo akilini mwangu haswaa! Siwezi vumilia vituko vya mke ambaye hana habari na mimi
We unafikiri kwanini siku hizi ndoa hazidumu? Wanawake waliweza kuvumilia zamani maana hawakuwa na pa kwenda wala financial freedom. Hivyo ilibidi tu wavumilie walee watoto, ila msifikirie baada ya usaliti hali inarudi tu kuwa sawa. Fainali uzeeni unaona tu mama yuko busy na wanae wewe hawana muda na wewe na wakati huo ndio wewe unamuhitaji zaidi.Kimsingi kwa hili nikiri tu kweli inaumiza sana hisia za mwenza naona inachangia sana kuharibu feelings za mrembo!
Nina rafiki yangu nae amefikia kwenye hii situation ya ganzi jamaa yake wanaishi tu sababu anamlisha yeye na mtoto ila ameapa akipata kazi anasepa!
Alikuwa hivyo kabla na wakati mnaoana? Kama hakuwa hivyo basi kuna shida mahala. Jitathmini wewe kwanza namna unavyomtendea ukiona uko vizuri, check external factors sasa. Kuna wanawake wengine kununa ni hulka.Hata ukiongea naye yeye anaona sawa tu uukimwambia hupendi tabia hizo ananuna
Dah kweli, zamani ilikuwa mzee ndio bread winner mama anatulia tu kuvumilia vimbwanga vya mzeeWe unafikiri kwanini siku hizi ndoa hazidumu? Wanawake waliweza kuvumilia zamani maana hawakuwa na pa kwenda wala financial freedom. Hivyo ilibidi tu wavumilie walee watoto, ila msifikirie baada ya usaliti hali inarudi tu kuwa sawa. Fainali uzeeni unaona tu mama yuko busy na wanae wewe hawana muda na wewe na wakati huo ndio wewe unamuhitaji zaidi.
Labda kama hakupendi, ila kama anakupenda hata kama nae ni mzinzi maumivu yako pale pale. Unless awe aliolewa na wewe tu ilimradi nae aolewe.Sema kwa wanawake wazinzi kwao haiwaumizi so sio kwa wanawake wote! Mengine yanayokazwa ovyo huwa hayawazi
Mmelazimishwa kuoana? Kama mpo jela vile...achaneniMkuu ndivyo walivyo hawa viumbe...ukirudi home salimia, kula, oga, lala kesho amka mapema nenda zako kazini.
Eeh nazungumzia hawa wahivi ambao wengi still wanagongwa na ma EX zaoLabda kama hakupendi, ila kama anakupenda hata kama nae ni mzinzi maumivu yako pale pale. Unless awe aliolewa na wewe tu ilimradi nae aolewe.
Una hoja EspyWe unafikiri kwanini siku hizi ndoa hazidumu? Wanawake waliweza kuvumilia zamani maana hawakuwa na pa kwenda wala financial freedom. Hivyo ilibidi tu wavumilie walee watoto, ila msifikirie baada ya usaliti hali inarudi tu kuwa sawa. Fainali uzeeni unaona tu mama yuko busy na wanae wewe hawana muda na wewe na wakati huo ndio wewe unamuhitaji zaidi.
Akichunguza simu ya mkewe ghafla atapata jibu kamili