King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,581
- 1,357
Kaka nisikilize kwa mara nyingine tena kwa picha nililoliona kwa jamaa na alivyo jieleza.Show ya akina Diamond platnumz au show ya malaika band? [emoji125][emoji125]
Ni kwamba huyo baby mama wake anasikia sikia kuna bwana mtamu mtamu nje na anayajua mapenzi na kubembeleza na haya anaambiwa na huyo mama shoga ake wakiswahili, yaani wanamuingiza mjini kwamba huyu wa njombe hakupi hivi na hivi na sababu kubwa ni kwamba huyo maza anataka naye afaidi salio la biashara ya hawa watu washaona biashara yao ipo located na wana earnings.
Na binti wa jamaa naye bila kujua maskini anavutwa na sauti ya maneno ya mama mswahili, inawezekana kuwa baby mama wajamaa pia ni mashallah kama hajafungasha furushi huko mkiani sijui😅 Ndiyo maana mleta mada ana wivu akafunga na kazi 🙅🙅🙅
Sasa hapa conclusion ni kuwa jamaa amuombe baby mama apunguze mazoea na huyo rafiki yake maana ndiyo jini mkata kamba mzuri mzuri.
Hawa vijana wa bodaa nikuishi nao kwa akili mke wake awapige pini yeye.
Mtoa mada soma ushauri hapa chap.