Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Haya mambo ya kubaka watoto wachagga wanayo sana. Kuna rafiki yangu anaitwa Mercy alibikiriwa na baba yake mzazi, akamfanya kama mke mdogo. Mama yake Mercy alipo wafumania, alizimia, hakuongea tena hadi mauti
🙏🙏🙏
Keshakufa ilacwakitakiwa wampe kipondo na hata kumfikisha polisi ajifunze kidogo wamgeuze dukaAu na wewe lipiza kwa mke wake
Duuuh !!baba mzazi????Haya mambo ya kubaka watoto wachagga wanayo sana. Kuna rafiki yangu anaitwa Mercy alibikiriwa na baba yake mzazi, akamfanya kama mke mdogo. Mama yake Mercy alipo wafumania, alizimia, hakuongea tena hadi mauti
Hata mimi kwa kweli ningemuadabisha maana huyo lazima ataendelea kumfuatilia....Ungefanya la maana ungechukua kanyundo kisha kuziponda nyanya za huyo mzee.
Kuna baadhi ya watu wakiwa kwenye matatizo au mazingira hatarishi basi nyege zao hua zinapanda maradufu!😀Mtu kafiwa na mkewe, hizo nyege zinatoka wapiii??
Mfiwa wa ki mwendokasi huyu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakukumbusha TU kwamba Baba mdogo na mchumba wako ni wapenzi. Chukua chuma hicho na utulie.Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.
Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.
Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.
Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.
Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.
Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.
Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.
Kesho tunarudi zetu Dar
Huyo mzee ingekuwa mimi ningemfanyia upasuaji wa samsing yake bila ganziHata mimi kwa kweli ningemuadabisha maana huyo lazima ataendelea kumfuatilia....
Mkewe ndo alifariki wakaenda msibani.Au na wewe lipiza kwa mke wake
Sasa mkuu si ungesoma kwanza uzi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Au na wewe lipiza kwa mke wake
We bwana una chuki na kila kabila na mataifa. Unachukia waarabu, wasomali, waethiopia, watusi, warundi, bado makabila ya weusi wenzako wa hapa nyumbani nayo huyapendi.Huyu atakuwa mchaga. Ndivyo wengi walivyo. Wanatiana kama mbuzi na kuku hawa. Ni laana kiasi gani. Ningekuwa wewe ningemtokea uso kwa uso na akizidi namtia adabu.
Duuuh !!baba mzazi????