Ila kaya yenyewe ni bangi, sio kaya ya nyumbaniHahahahq kqbsa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kaya yenyewe ni bangi, sio kaya ya nyumbaniHahahahq kqbsa
Hahahaahh weeeeeeeeeDIla kaya yenyewe ni bangi, sio kaya ya nyumbani
Ndio mkuuHahahaahh weeeeeeeeeD
Basi njoo PM mrembo...😋Nitafurahi kumuona.
Duuh msalaa sanaa genyee hiziiiHaya mambo ya kubaka watoto wachagga wanayo sana. Kuna rafiki yangu anaitwa Mercy alibikiriwa na baba yake mzazi, akamfanya kama mke mdogo. Mama yake Mercy alipo wafumania, alizimia, hakuongea tena hadi mauti
Mfiwa anastress ambazo zimepelekea athari za nyege mwili mzima..🤣Mtu kafiwa na mkewe, hizo nyege zinatoka wapiii??
Mfiwa wa ki mwendokasi huyu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwajui mababu wa siku hizi weweMbona kma chai hii au unatafut kiki
Jamaa alinogewa 😀😀😀 anataka kupiga pepa2Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.
Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.
Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.
Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.
Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.
Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.
Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.
Kesho tunarudi zetu Dar
Nenda katoπbe hata hiyo maitiNdio tumemzika
Wewe umesoma kilichoandikwa kwanza? Atalipizaje kwa mke wake ilhali wamemzika jana?Au na wewe lipiza kwa mke wake
Mkuu Pole sana,najaribu kuvaa viatu vyako naona km vile havinitoshi.Ongezeni juhudi ya kuomba ili Mwenyezi Mungu awape nguvu ya kushinda jaribu hilo.Huyo baba ni Shetani Kabisa.Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.
Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.
Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.
Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.
Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.
Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.
Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.
Kesho tunarudi zetu Dar
Ngoja na wewe ugongewe mkeo na baba mkwe Mdogo ndio uamini.Hayo Mambo yapo ktk jamii zetu.Ikiwa mtu anaweza kumbaka mwanae wa kumzaa atashindwaje Kufanya huo ufirauni kwa Mtoto ambaye hajamzaa yeye.Think big bro.Mbona kma chai hii au unatafut kiki
Duh!!,.Noma sana,yaani unashare nyapu na Baba mkwe wako?,Inauma sana.Haya mambo ya kubaka watoto wachagga wanayo sana. Kuna rafiki yangu anaitwa Mercy alibikiriwa na baba yake mzazi, akamfanya kama mke mdogo. Mama yake Mercy alipo wafumania, alizimia, hakuongea tena hadi mauti
Yaani ni brain tearser and damagerDuh!!,.Noma sana,yaani unashare nyapu na Baba mkwe wako?,Inauma sana.
apige miti maiti sio??Au na wewe lipiza kwa mke wake