Mke wangu alibakwa na baba yake mdogo aliyekuwa anamlea akiwa na miaka 13, leo ukweni akataka arudie tena!

Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.

Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.

Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.

Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.

Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.

Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.

Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.

Kesho tunarudi zetu Dar
Alifanya vizuri sana kuto rudi wakati wa likizo asingesoma kwa amani. Namuomba Mungu kila siku niishi na watoto wangu vixuri wakue wakiwa kwangu. Maisha ya kwa ndugu yana changamoto nyingi sana.

Kuna ndugu unaishi nao lakini ukiwa angalia unaona kabisa hata ukiwaachia watoto wako hawata ishi kwa amani. Mimi nilishaapa watoto wangu nikifa wakaishi kanisani. Huko naamini watakua kiimani. Najua nako hakuna salama sana lakini angalau.

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
True
 
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.

Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.

Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.

Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.

Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.

Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.

Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.

Kesho tunarudi zetu Dar
Baba mdogo kazingua kinoma, huna picha yake mkuu?
 
Sasa hapo ukorofi wa watu wa Kanda ya ziwa uko wapi
Maana Leo ITV walitakiwa watoe taarifa ya Mauaji
 
Yaani siku hiyohiyo mmetoka kuzika kisha baba mdogo wa mkeo akawa ana genye ya kunyandua binti wa kaka yake??

Pia kwa mila za kitanzania nyingi haziruhusu binti mkubwa kuingia chumba cha wazazi (baba yake mdogo) kwa mkeo ilikuwaje hii au kwao hakuna utamaduni huu??

Pia nafahamu nyumba yenye msiba kama wa mke lazima kuwe na ndugu wengi wa upande wa mke marehemu halikadhalika wa upande wa mume (Mfiwa) ilikuwaje hadi apate upenyo wa baba mdogo kumuita mkeo chumbani??

Naaliza haya kwa kuwa JF imejaa chai za rangi bila sukari kwa miaka hii.
 
Haya mambo ya kubaka watoto wachagga wanayo sana. Kuna rafiki yangu anaitwa Mercy alibikiriwa na baba yake mzazi, akamfanya kama mke mdogo. Mama yake Mercy alipo wafumania, alizimia, hakuongea tena hadi mauti
Una uhakika ni baba yake mzazi?
 
Huyu atakuwa mchaga. Ndivyo wengi walivyo. Wanatiana kama mbuzi na kuku hawa. Ni laana kiasi gani. Ningekuwa wewe ningemtokea uso kwa uso na akizidi namtia adabu.
Kuna jamaa pale Moshi aligombana na mwanamke wake wakaanza toleana siri zao mwanamke anasema mwanaume anatomba rafiki za huyu mkewe, mwanaume akasema wewe mbona unalala na kaka binamu yako yaani mtoto wa mama yako mdogo, mbona mimi sijasema kitu, na dada yako anapigana miti na kaka yako, mbona mimi sijakuchafua.

Mmmmmmhmn nilishindwa kuuliza maswali zaidi.
 
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.

Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.

Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.

Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.

Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.

Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.

Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.

Kesho tunarudi zetu Dar
Aseee,ningemshushia kipigo cha mbwa

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Kipindi nikiwa likizo hizi za chuoni, Kuna mahali nilikuwa najishikiza nafanya kazi kama msaidizi wa wakala Fulani huduma za kifedha . Sasa pale kulikuwa na Binti ambaye anamwita huyo wakala uncle(wachagga) na nilikuwa nafanya na huyo Binti kama wasaidizi wake. Ku summarize story ni kwamba haka kabinti kalidrop form five na kuja kufanya kazi kwa mjomba ake kumbe behind the scenes alikuwa analiika na uncle wake . The worst thing ni kwamba baada ya kugundua kamchezo Chao , kulinigharimu sana. Na hata haka kabinti kakawa kanafanya kazi kwa mazoea ,kwa kuwa kinajua , uncle, uncle,uncle ... Hamwambii kitu au kumgombeza if things goes wrong kwenye ishu za miamala. haka katoto kaliwahi nunua luku ya umeme wa mil 3.9 kwa kujifanya much know ukagoma na Hela ikakatwa. aisee nilihangaika sana yaani mpaka hiyo Hela kuja kurudi. Hata nishawahi leta Uzi humu kuomba ushauri kuhusiana na hili la umeme alilosababisha huyu dogo. By the way nikaapa sitakuja kufanya kazi ambapo wamejazana ndugu, sijui mjomba ,uncle ,binamu n.k. [emoji119][emoji119][emoji119].
 
Kuna jamaa pale Moshi aligombana na mwanamke wake wakaanza toleana siri zao mwanamke anasema mwanaume anatomba rafiki za huyu mkewe, mwanaume akasema wewe mbona unalala na kaka binamu yako yaani mtoto wa mama yako mdogo, mbona mimi sijasema kitu, na dada yako anapigana miti na kaka yako, mbona mimi sijakuchafua.

Mmmmmmhmn nilishindwa kuuliza maswali zaidi.
Dah haya mambo haya ..aisee ni aibu sana yaani
 
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.

Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.

Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.

Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.

Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.

Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.

Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.

Kesho tunarudi zetu Dar
kwahiyo mkeo aliitwa "chumbani" na yeye akaenda? peke yake. pole bro. huyo alikuwa mkewe kabla hujamwoa.
 
Kuna jamaa pale Moshi aligombana na mwanamke wake wakaanza toleana siri zao mwanamke anasema mwanaume anatomba rafiki za huyu mkewe, mwanaume akasema wewe mbona unalala na kaka binamu yako yaani mtoto wa mama yako mdogo, mbona mimi sijasema kitu, na dada yako anapigana miti na kaka yako, mbona mimi sijakuchafua.

Mmmmmmhmn nilishindwa kuuliza maswali zaidi.
Ni pepo, maagano au ni nini? Au shetani katokea huko?
 
Back
Top Bottom