Mke wangu alibakwa na baba yake mdogo aliyekuwa anamlea akiwa na miaka 13, leo ukweni akataka arudie tena!

Haya mambo ya kubaka watoto wachagga wanayo sana. Kuna rafiki yangu anaitwa Mercy alibikiriwa na baba yake mzazi, akamfanya kama mke mdogo. Mama yake Mercy alipo wafumania, alizimia, hakuongea tena hadi mauti
Duuh msalaa sanaa genyee hiziii
 
Mtu kafiwa na mkewe, hizo nyege zinatoka wapiii??
Mfiwa wa ki mwendokasi huyu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfiwa anastress ambazo zimepelekea athari za nyege mwili mzima..🤣
 
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.

Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.

Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.

Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.

Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.

Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.

Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.

Kesho tunarudi zetu Dar
Jamaa alinogewa 😀😀😀 anataka kupiga pepa2
 
duuuh. Huu uzi hata sielewi aisee. Mfiwa.... Msibani... siku ya mazishi.... najaribu kuchora picha haiji ila kama ni kweli dunia simama nishuke
 
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.

Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.

Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.

Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.

Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.

Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.

Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.

Kesho tunarudi zetu Dar
Mkuu Pole sana,najaribu kuvaa viatu vyako naona km vile havinitoshi.Ongezeni juhudi ya kuomba ili Mwenyezi Mungu awape nguvu ya kushinda jaribu hilo.Huyo baba ni Shetani Kabisa.
 
Haya mambo ya kubaka watoto wachagga wanayo sana. Kuna rafiki yangu anaitwa Mercy alibikiriwa na baba yake mzazi, akamfanya kama mke mdogo. Mama yake Mercy alipo wafumania, alizimia, hakuongea tena hadi mauti
Duh!!,.Noma sana,yaani unashare nyapu na Baba mkwe wako?,Inauma sana.
 
Back
Top Bottom