Black nyeti
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 692
- 1,131
π€π€π€π€ Duuuuuh hapo kipengele huyo unamfunga mikuu na mikono alafu unaichapa weeeee mpaka then unamfungaZinatumika mkuu ila hata ifike katikati ya mchezo akisema basi ndio basi tena maana ana miguvu kama tembo ππ
Mkuu hiyo mbinu nitaitumia lazima akonde kwa mjegeje maana nitakuwa huru uwanja utakuwa wanguπππ
Alooooh niliisha zile siku za mwanzo mwanzo baada ya kumuoa yani nilibaki kilo na nusu kwa kuichapa kidogo asaivi uzito umerudi tena napata kibarua kingineπ€£π€£π€£Mapema tu mkuu wiki tu utashangaa kilo 5 hazipo.. ila uwe makini wew mkuu mana unaweza ukajikut wewe ndo unakond badala yakeπ€π€π€π€ π€
Mambo ya vyakula nimefatilia sana ila hii umemention huwa ina works kwa asilimia kubwa sana, azingatiePunguza kula wanga (Wali na Ugali) na ujikite zaidi kula Viazi vitamu, magimbi, maboga, ndizi, nyama, mayai na mboga za majani.
Pili acheni kabisa matumizi ya Sukari (Chai) na mlo wote wa asubuhi achaneni nao, kwasiku muwe mnakula mara mbili zinatosha kabisa, na jioni hakikisheni mnakula around saa mbili usiku.
Akifanya haya, atakuwa amepunguza asilimia 70% za tatizo lake.
Be a Man, msimamie kwenye kuyatimiza hayo.
Tumbo lako π π πKichuguu gani tena kiongozi π
Rudisha umri nyuma ππWakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana
Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana
Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote
Ndiyo umpeleke gymAkiwa kimodo kama wewe itapendeza sana
Ndiyo mkuu, sasa hivi warembo wote tunafanya mazoezi πKumbe nawe unapiga gym