matukio yanini bwan,kam umemwambia kistaarabu hajaelewa fokaaaa had ajue upo serious,huwa hazikosekani mbinu za kupunguza mwiliHili la shoo sina uhakika nalo maana kwenye hilo swala huwa hadi ananiona kero na kawa mvivu kweli ila ubonge ni uleule
Kwenye kuridhika hapo ni kweli, ila sasa ushauri wako ni nini au nianze masimango apunguze kuridhika au nimpige matukio kama wengine wanavyosema humu?
Ety natetea wazembe π€π€π€Chauvivu akitetea wazembe wenzake
Navile kufoka siwezi itabidi unipe tafu katika hilooπππ
Eeeeh basi halali anone kam kufoka hujui basi hata kupiga hujuiNavile kufoka siwezi itabidi unipe tafu katika hilooπππ
Nimeshampa ushauri
Mxiiiiiuuuu πHapa kwenye kupiga umemaanisha nini maana kama nikuipiga niko vizuri
Sijapenda pia ila naweza jaribu π
Sijapenda pia ila naweza jaribu π
Shauri yake we mwambie tu shauri yake