Ampige beki tatuFanya mapenzi na dada wa kazi huyo ndie faraja yako mpya 😇
Mtie dada wa kazi....ukishampiga miti atawapenda wanao pia baadhi ya maagizo na mipango uwe unajadili nae bila kusahau kila siku ulizia ripoti za hapo kwako mbele ya mkeo 👍Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.
Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu
Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi
MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI
1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.
2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote
3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana
4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele
5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi
Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.
Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Kuna mtaa niliishi huko nyuma, jirani baba wa familia ni daktari, mama muhasibu, wote wanaondoka asubuhi sana kwenda kazini, wote wanarudi jioni au wakati mwingine usiku.Hamna taji wala ushujaa kwenye kuteseka na majukumu ya nyumbani kama kuna wakukusaidia, wacha mkeo afanye kinachompa amani. Huyo mdada wa kazi ni kwaajili yake sio wewe.
Wacha kuumiza roho kwa mkeo kujitafuta upya baada ya malezi, fanya yako mkutane chumbani
Wanawake wanajisahau sana kuna mwenzao nae hvyo hvyo kaleta dada wa kazi yeye kutwa kajilaza na simu yake anaperuzi tu kuna kazi unaona anaweza akamsaidia dada wa kazi lkn wapi anaagiza tu sometime namhurumia dada wa kazi nashindwa kusema najua kutatokea malumbano cha ajabu sasa mshahara anaomlipa maana yeye ndyo kamleta ni sh elfu arobaini hapo watoto wawili saa hz kaondoka kapata kazi mkoa mwingine kaacha watoto wote wawili nikamwambia huyu dada itabidi umuongeze mshahara akasema sawa juzi juzi hapa namuuliza dada wa kazi anakulipa sh ngp kanijibu anapewa elfu hamsin Yaan huyu dada wa kazi ukimuuliza kati yangu mm na mke wangu anapenda akae na nani atasema mm kuna kazi nikiwepo nazifanya lkn kipind kile wife yupo alikua hamsaidiiHabari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.
Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu
Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi
MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI
1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.
2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote
3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana
4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele
5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi
Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.
Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.

Mkuu angalia usije ukamkulaWanawake wanajisahau sana kuna mwenzao nae hvyo hvyo kaleta dada wa kazi yeye kutwa kajilaza na simu yake anaperuzi tu kuna kazi unaona anaweza akamsaidia dada wa kazi lkn wapi anaagiza tu sometime namhurumia dada wa kazi nashindwa kusema najua kutatokea malumbano cha ajabu sasa mshahara anaomlipa maana yeye ndyo kamleta ni sh elfu arobaini hapo watoto wawili saa hz kaondoka kapata kazi mkoa mwingine kaacha watoto wote wawili nikamwambia huyu dada itabidi umuongeze mshahara akasema sawa juzi juzi hapa namuuliza dada wa kazi anakulipa sh ngp kanijibu anapewa elfu hamsin Yaan huyu dada wa kazi ukimuuliza kati yangu mm na mke wangu anapenda akae na nani atasema mm kuna kazi nikiwepo nazifanya lkn kipind kile wife yupo alikua hamsaidii
Hahaha sipendi itokee hvyo lkn c unajua binadamu sisi sijui huko mbeleni itakuajeMkuu angalia usije ukamkula