Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
So bado uko naeKuna mwanamke alitoaga mimba yangu kwa mpango ambao dada yake aliuratibu! Analia tu kila kukicha akikumbuka upumbavu alioufanya! Nikakuta karatasi za Ultra sound za Marie Stopes ambapo likely ndio aliitolea ile mimba akanidanganya ni miscarriage kumalamamaake! Sikuwahi kuumia namna ile!!!
Sahizi alipo huko mungu ndio anajua mjalaaana yule shwaini wahedi! Linajutia ujinga wake tu shenz taipu.
Sahizi nikiskia habari sijui za dada yangu hivi! Mara vile ninachomwambia tu huyo mtu ukitoa fito zako kuelekea huko uwe umenifuta katika akili yako na kumbukumbu zako!
Kashachanganyiwa kinyama huyo..mnajichosha tu hapa...hamwezi mwambia kitu akawaelewa huyoSikulaumu najua love is blind ila uhalisia utakufunza mzee baba! Huyo mwanamke unaemkumbatia atakufanyia mazito zaidi akili itakapokurudia amekurudisha nyuma mara 10 ndio utajua hujui!
Mkuu tatizo ana nyonyesha mtoto na kwao naona hawako vuzuri kabisa ukisema aende kwa Dada ake ana panga tu chuba na sembule.......
Mwezi mmoja bila kuaga hpn halaf nirud funguo aniletee dadayake...Msamehe tu maisha yaendelee
Mkuu huamin kama wanawake huogopa usiku,watoto tu hawatoshi kumuondoa hofuHahahahah kwa akili za huyu mwanamke ukimletea mdogo wako wa kiume anaweza akawa anamkaza shemeji yake! Anachoogopa ni kitu gani hasa kama ana watoto tayari kashazaa si alale na wanae!
Hahahh..Hapo haipingiki na ilipodhihirisha udhaifu ni pale anapoomba ushauri wa mwanamke ambaye akisafiri halali mwenyewe anaogopa na kwenda kulala anapopajua yeye kwa visa ya dada yake![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaenda pokelea funguo kwa shemeji yako usiku wa kutisha na mkeo asitoke muondoke wote hehehe!
Usimtishe mzee baba! Wanawake wazuri wapo and its easy to spot them if you have a good eyes, brain and well experienced!Alikupa hiyo option ya vboko maana alijua uwezi kumchapa. Ninakubaliana na wewe kweli hapo huna mke. Very sad. Na ukimpa talaka unaweza kupata mwingine ambaye ni mbaya zaidi ya huyo. Endelea kumfundisha labda atapata akili huko tuendako.
well said...Usimtishe mzee baba! Wanawake wazuri wapo and its easy to spot them if you have a good eyes, brain and well experienced!
Tena anaweza muacha akatulia akajitokeza mwanamke ambaye ndio hasa alitakiwa kumuoa toka awali mpaka akashangaa alikuwa wapi siku zote! Tatizo watu wana macho ila hayaoni wanawake sahihiπ€
Kama kuna kitu hakinipi shida ni ku spot a fake bitch vs a real one!well said...
mniombee nisiyakose hayo macho ...π
Hahahaha kama mpaka mwanamke anaweza kuona kwamba mtoa mada anayumba this mus be a tragedY!Kwa nilivyoelewa chapchap tu ni kwamba ww na mke wako mna Communication Zero na hilo tayari ni tatizo kubwa sana na kingine acha kukurupuka ukitaka kuoa! Lazima umfahamu unayetaka kufunga nae ndoa ili ujue unajikita wapi kaka,inakuwaje kila unayekutana nae hana nidhamu?Hebu keti chini ujiulize unakosea wapi?
Mwezi mzima umesafiri hujui mkeo yupo wapi? Hivi unajua how abnormal that sounds?
Ni tragedy kubwa vitu vingine sio kawaida au huyu jamaa ametunga hii mada?Hahahaha kama mpaka mwanamke anaweza kuona kwamba mtoa mada anayumba this mus be a tragedY!
Mkuu naona hujanuelewa vizuri wakati naondoka nilimuacha nyumbani na communication zote kila siku kwa wakati wote tulikua tunaongea vuzuri tu bila shida......tatizo ni pale wakati wa kurudi nilianza safari bila kumtaarifu ndo nikakuta haupo nyumbani kumbe kipindi chote tuna communicate iko kwa Dada ake......mimi swali kubwa kwangu ni kwanini hukunitaarifu wakati unatokaNi tragedy kubwa vitu vingine sio kawaida au huyu jamaa ametunga hii mada?
Maana mimi binafsi siwezi kwenda mahali bila kumjulisha mwenzi wangu hata kama niwe wapi,inaweza kutokea case hujaaga kabla lkn lazima umjulishe mwenzio ulipo na kwake yeye inaapply hivohivo najua whereabouts zake zote.
Sasa huyu mwenzangu mwezi mzima hujui mwenzio alipo duh!Sio kwa uhuru huo hata kusaidiwa unaweza kusaidiwa vizuri.Inapoteza mantiki ya ndoa!
Inawezekana hata kuwasiliana hawawasiliani hawa [emoji848]
ππππππBaba wanawake wanawaza mbali sana, ulivosema utamchapa viboko vitano yeye anajua utaisulubu mbususu yake kwa goli tano!
mpeleke kunako sita kwa sita ukatafute bao tano baba arudii tena
Ndo still hamcommunicate properly kama hujui mienendo yake kaka!Unatakiwa kujua alipo na kama alitoka kwasababu ni kawaida kumjulisha mwenzio ulipo.Mkuu naona hujanuelewa vizuri wakati naondoka nilimuacha nyumbani na communication zote kila siku kwa wakati wote tulikua tunaongea vuzuri tu bila shida......tatizo ni pale wakati wa kurudi nilianza safari bila kumtaarifu ndo nikakuta haupo nyumbani kumbe kipindi chote tuna communicate iko kwa Dada ake......mimi swali kubwa kwangu ni kwanini hukunitaarifu wakati unatoka