Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

Inaoenekana bado unampenda, msamehe tu.. hata hivyo kukaa kwa dada ake sio vibaya
 
Ashajus udhaifu wako ndo maana amechagua adhabu ambto anajua huwezu kuitekeleza
 
bro yule anae kula mirungi kwan alikuwa na shida nyingne? hizo ni changamoto zitatue uendelee na mke wako ila hakikisha unakamilisha adhabu uliyoaahidi la sivyo itakuwa ndio mchezo.
 
Mkuu maisha ni uvumilivu, unataka kusema tangu uanze nae hili ndo kosa kubwa sana kuliko alivyo wahi kukukosea?

Naamini kuna makubwa na bado upo nae, kuishi kwa dada mtu naona poa tu, mtafutie hata mwanandugu wako au house girl awe anakaa nae sasa akiondoka tena ujue kashindikana.

Sio kosa kukaa kwa dada kama anaogopa hata kama ni wewe usichukulie uanaume wenzetu hawa wana uoga sana usiku mzima.kwa mwezi mzima ndani peke ake ???

Msamehe man.
 
Sikulaumu najua love is blind ila uhalisia utakufunza mzee baba! Huyo mwanamke unaemkumbatia atakufanyia mazito zaidi akili itakapokurudia amekurudisha nyuma mara 10 ndio utajua hujui!
Huyu ndugu ana madhaifu makubwa mno na kibaya zaidi bado halioni hilo.....historia inatanabaisha kuwa huyu jamaa siku moja atakuja kulia kilio kikuu sana.....
 
samahani dada hujabakiza hata mdogo wako home..😊

Akili hii nimeipenda.
 
Huyo hakutaki na dada yake anajua mengi.Achana nae tu ulee watoto wako.Kamwe usilazimishe mapenzi kwa namna yoyote.
Umeshauri kwa kufokea mkuu utafikiri unaujua undani wao, yeye kasema uyu wa sasa ni wa tatu, kaeleza mapungufu ya wenzie tuuuu yake uyajui inamaana siku zote alizokuwa safari walikuwa hawaongei? Adi anarudi home asimkute mwenzie
 
Huyu ndugu ana madhaifu makubwa mno na kibaya zaidi bado halioni hilo.....historia inatanabaisha kuwa huyu jamaa siku moja atakuja kulia kilio kikuu sana.....
Na yeye atakuwa na madhaifu yake yanayopelekea kuona madhaifu ya wenzie saana kuzidi yake ama anaweza kuwa chanzo cha mapungufu ya wenzie.......inawezekana kuoa wake watatu wooote asiwepo wa kuvumilika na kurekebisha maisha yakasonga? Na wa 4 atakuwa zaidi ya hao waliopita
 
Inaoenekana bado unampenda, msamehe tu.. hata hivyo kukaa kwa dada ake sio vibaya
Hapana mkuu huyu mwana mke simpendi ila tu naangalia madhara kwa watoto na kazi zangu, nakaa nae kimkakati (strategical marriage) kama kuna njia ya kumacha peaceful hata leo usiku ningemuacha tu.
 
WEWE NI TAHIRA, BWEGE, JINGAAAA MAMAEE.

YAAAN KWANZA NI MUONGO

PILI, HAKUA KWA DADA YAKE, ALIKUA KWA BWANA NDIO MAANA FUNGUO KAKULETEA DADA YAKE.( WANAWAKE.WACHEPUKAJ WATAKUAMBIA ALIOGOPA UTAMPIGA ,UONGOOOOOOO)
UKWELI NIKUA ALIKUA KWA JAMAA, NAIVO AKAONA INSHU KUAGA GHAFLA.

TATU, YAAN YEYE NDO ANAKUAMBIA WAPI MKUTE???? MSENGEE WEWE ,LIDHAIFUUUU FALAAA WEWE..NAWEWE UKAENDESHA KIDUDS KAKO KUMFATA ??? MANYOKO ZAKO.

NDIO MAANA AKAONA AWE MKALI KUBADILI MADA

NNE, UKUMAA NI KUMPA ADHABU ZA KUCHAGUA , WEEE FALA KABISA, YAAAN UMPE OPTIONS??? MAMAEE ETI VIBOKO VITANO????

AMEKUONA FALAAAAAAAA MBWAAA KENGEEE KABISAAAAA.


BOYA WEEE HUONI KUA DEM KESHAKUPIMA KAONA WEE NI MWANAUME DHAIFU SANA????? KWA TAARIFA YAKO, DADA YAKE NAYEYE MWENYEWE WOTE WANAJUA HUO MCHEZO , NAANAJUA HATA AFANYEJE HUWEZ MUACHA.


MPUUZI WEWE, ET NAWEWE UNASEMA HUWEZI KUMUACHA???

[emoji117][emoji117][emoji117]KWA TAARIFA YAKO ALIKUA KWA BABA MTOTO WAKE .

KUBALI KATAAA, HUYO MTOTO SIO WAKO. NA INAWEZEKANA KABISA HAO WATOTO WOTE SIO WAKOOOOO.


[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]KUZAA NA MWANAMKE MTOTO AU WATOTO SIO.KIGEZO CHA YEYE KUKUDHARAU NAKUKUTENDA UTUMBO HUO.

YAAN WEEE SIJUI NIKAJAMAA KA PWANI.


HUYO DADA MTU ANAKUBALIJE KUKAA NA MKE WA MTU MWENYE MTOTO????


FALAAA WEWEE, HUNA AKILI, WEWE NI MJINGAAAA WA KUPINDUKIA.


NMEKUTUKANA.
 
Umeona eeh.

Mie pia nmeshangaa. Na ulimwengu huu wa mawasiano kiganjani!!!


Ila ndoa zina vimbwanga. Mambo mengine ukiskia mpk utabisha kama yanatokea
 
FUKUZA IYO MBUZI ,KAMA KWELI UNATAKA UISHI.

WATOTO WASOMESHEE, MTUMIE PESA KWA AJILI YA MDOGO, NAYEYE AKIKUA UNACHUKUA

MKUBWA MPELEKE SHULE YA BWENI.

UKISHINDWA , MUITE NDUGU WAKO WAKIKE AKUANGALIZIE NYUMBA UNAPOKUA MIZUNGUKON.




AISEEE, UNAKUAJE NA MWANAMKE HAKUHESHIMU??? UNAISHIJE NAMWANAMKE ANAKUDHARAU NAMNA HII???


FALA SANAAA.
 
Nicheki tukifungie cctv camera hapo home kwa gharama ndogo tu ya m1.
 
Yaan wee mtoa mada khaaaa

Mambo ya ajabu sanaaaaa

Kwa taarifa yako, wanawake.wengi wanaonyonyesha huogopa kutombwaa watoto wanapokua chini ya miezi sita.

Ila wako anamwaka nanusu...yaan hapo mkeo anapigwa sanaaaa yaan analiwa.

Tena km ni wakanda ya ziwa, kule wanamadawa wanamfanyia mtoto hata akiwa na miezi mitano, baada yahapo anaanza kutiwa, bila hata kumuathiri mtoto.


Fala weewe ,najua kakudanganya kua, HAWEZ KUKUSALITI KISA ANANYONYESHA???



UWIII HAHAHAHAH, Wanaliwa sanaaa yaaan wanaliwa sanaaaaaa
 
Hamna solid communication yani😝😝😝 yani kila mtu anajiendea kama mbuzi wa manispaa
 
Ye anahisi maziwa yanapiga super glue kule chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…