Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

Nashukuru kwa ushauri sasa akiondoka nani asimamie maendeleo nyumbani hiyo nichagamoto pia, nakuleta mke mgine naona itakua too much huyu ni watatu nikifikisha wanne jamii itaniona kama mimi ndomwenye tatizo
Alivyoondoka nqni alisimamia maendeleo ya nyumbani. Fanya maamuzi kama mwanaume, unayumba bro.
 
Ni muongo muongo, huenda hata hao watoto siyo wako.

Fanya maamuzi vyema mkuu ila usimgonge stick aka mkoma...
 
Nilijua wanawake ndo mnapenda mwanaume wa sampuli hii..
 
Inawezekana kweli anaogopa kukaa peke yake nyumbani, tafuta uvumbuzi wa hilo wala usimchape. Nyumba kukaa peke yake, tena mwanamke! Fikiria vizuri hilo.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi. Wanawake wengi huwa wanaogopa sana kukaa peke yao katika nyumba, usiku. Hivyo ukitaka kusafiri tafuta hata msichana wa kazi akae nae asijisikie upweke.
 
Nilijua wanawake ndo mnapenda mwanaume wa sampuli hii..

Hapana Kaboom . Maandiko yanataka tuwaheshimu wanaume, na heshma haiombwi wala hailazimishwi.... vile mwanaume aishivyo ndivyo anavyojijengea heshma

Raha ya mwanaume awe mkali na mwenye maupendo tele
 
Huyu mtoto ni wangu100%. hiyo mimba aliipatia tukiwa, nae holiday kwa siku 35 ndo alipata hiyo mimba tukiwa tumeenda kusalimia ndg zangu nje ya nchi 2019. I spent all the days & nites with her no doubt that ma son.
Ok..Ila shida naona iko kwako mkuu..Bado hujasimama vyema kama mwanaume/mume..
 
Hapo hauna mke tena jichunguze sana. Familia inaingiliwa na Dada yake na wewe unafurahia kama zuzu. Kitendo cha kukuambia tu nini hatima yake ni dhahiri hakutaki. Unasema kwao wanamaisha ya dhiki lakini ndio kaenda kukaa na mtoto wako mwezi. Hapo hauna mke na huyo mtoto sio wako kapime DNA. Mwanamke mwenye maadili hawezi kuondoka kwake bila kumpa taarifa mumewe. Shida ya kuchukua ya kuchukua wanawake wa kinondoni Mosko.
 
Utampata wapi mwanaume wa hivyo? maana akiwa mkali anatafsiliwa hana upendo!

Hiyo tasfiri ya kwamba atakua hana upendo itatolewa na wanaopenda wanaume dhaifu wasiokua na msimamo

Wakali na wenye mapenzi ya kweli wapo wengi tuu
 
Alikaa kwa Dada ake sio kwao kabisa huo mwezi mkuu huyu mwana mke sikumchukua hivi nilifuata utaratibu wote, ila ndo hivo limekua bomu tena nimegundua wote dada zake hawaja wahi kuolewa moja zigo maza mgine muaka 32 hana mtoto au mme.
 
umiza kichwa mangi, UKIMWI upo, huyo keshapata bwana INGINE tunza wanao.
 
Alikaa kwa Dada ake sio kwao kabisa huo mwezi mkuu huyu mwana mke sikumchukua hivi nilifuata utaratibu wote, ila ndo hivo limekua bomu tena nimegundua wote dada zake hawaja wahi kuolewa moja zigo maza mgine muaka 32 hana mtoto au mme.
Fukuza huyo...ila jiandae kugawana mali kama umepata nae kiwanja. Mkuu huyo mwanamke hafai achana nae. Mambo ya kulea sijui watoto utalea tu. Akishaona unambabaikia kisa mtoto atakupanda kichwani. Mimi ushauri wangu ndio huo.
 
Mke anaanzaje kuondoka nyumban bila taarifa yako..na dadaake amekaa nae tuu mwezi mzima.huyo hakua kwa dadaake ila alivyoona umerudi ndo akapeleka funguo kwa dadaake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…