Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Tatizo vijana mmekua nyororo sana, mnataka muonekano gentlemen ndio maana wanawake wanapata ujasiri kama huu.

Mimi huyu mtoto wa mama mkwe hata ujasiri wa kinipost facebook au insta hana. Kuna siku aliniweka status whatsapp nikampiga marufuku.
 
huyo mwanamke anakuona wewe ni mwanamke mwenzie ndiyo maana anaweza fanya hayo na kuna siku utakuta kakuzamishia tango.
 
Kq
Kapicha mkuu tuone hayo matakrooo
 
Anakutafutia wateja
 
Hichi kitu hakiwezekani. Kama ni kweli basi mtakuwa ni watu wa ajabu na mnaishi maisha ya kustaajabisha sana. Bila shaka mtakuwa wote vijana, 20+, hamuheshimiani na mkeo ni mswahili mwenye tabia zisizoeleweka na IQ 50-.

Otherwise nimechekeka sana.
 
😂😂😂😂😂😂

Jipige kifua mara 4 useme Mimi ni mpumbavu, fala, denzi, mjinga alafu fala kwenye hii dunia

Mpaka mkeo anakupiga picha tena za makalio jua kuna kipindi alikuwa anagawa penzi kwa mtu mwingine wakati wewe umelala hujitambui

Mwanamme nikulala kwa machale unalalaje kama mtu aliyekufa?
 
Umejuaje ni makalio yako
 
Hama Kwel Ile kauli ya Dunia Ina mambo naiyona inavyofanya kazi
 
Hiyo ni dharau bro you're the man muweke chini mkanye tandika hata makofi mzee why akupige we shoga kwani

Kuwa mwanaume sio mvulana
 
UNATAKA nilale vipi mzee usingizi ni nusu ya kifo.
 
Hichi kitu hakiwezekani. Kama ni kweli basi mtakuwa ni watu wa ajabu na mnaishi maisha ya kustaajabisha sana. Bila shaka mtakuwa wote vijana, 20+, hamuheshimiani na mkeo ni mswahili mwenye tabia zisizoeleweka na IQ 50-.

Otherwise nimechekeka sana.
Nina miaka 30 mke wangu ana miaka 24
 
Tatizo vijana mmekua nyororo sana, mnataka muonekano gentlemen ndio maana wanawake wanapata ujasiri kama huu.

Mimi huyu mtoto wa mama mkwe hata ujasiri wa kinipost facebook au insta hana. Kuna siku aliniweka status whatsapp nikampiga marufuku.
Sasa nalo hilo ni jambo la kujisifia? Status kuna shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…