Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Tatizo vijana mmekua nyororo sana, mnataka muonekano gentlemen ndio maana wanawake wanapata ujasiri kama huu.
Mimi huyu mtoto wa mama mkwe hata ujasiri wa kinipost facebook au insta hana. Kuna siku aliniweka status whatsapp nikampiga marufuku.