Mke wangu amenyoa nywele na zilikuwa zinanivutia sana

Huyo mwanamke kamu disapont mumewe bana, wanaume wengi hupenda nywele ndefu[emoji23][emoji23] wangu nilimtania na nyoa alini mind kweli
 
Sio mda wote mtu ana furaha tujaribu kulielewa hilo kwanza.
Sasa wanaume wengi hawajuagi kua hata wanawake nao ni binadamu, akiwa na stress akajibiwa tofauti na matarajio yake ndo kama mjomba apa anasema dharau zimeanza.

Labda nywele zilikua zinamchosha kweli lakini alijua akikwambia utakataa na yeye kuendelea kupata kupata tabu.
Mpe muda atakua sawa tu.
 
Kama ulimkuta na hizo nywele uko sahihi kuhoji

Lakini kama alikua ananyoa wewe ndo ukamshawishi asuke,itakuwa kachoka vya kusuka kaamua kunyoa

Hajakuambia kwa sababu alihofia utamkatalia na yeye ndo kashachoka kabisa.

Wengine tunapenda nywele fupi,kusuka tunajioneaga usumbufu tu
 
Nywele zina uzuri wake jamani, tena kama sisi wenye sura za baba ukinyoa unaweza shangaa hata mwanaume hasimamishi tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Nywele kweli hutusitiri wenye sura za baba kutotofautisha Sasa tukinyoa tunazidi ubovu wa sura waume zetu bana. Huyo mke wa mleta mada had mumewe kamwona hajapendeza itakuwa nywele zilikuwa zina msitiri
 
Hii mbona simple tuu kung'amua..

Ni kuwa mkeo kapata mchepuko bab kubwa, ambao haupendi hizo nywele...

Pole sana mkuu kama ntakuwa nimekukwaza
 
Hebu kuwa specific mkuu, amenyoa nywele za sehemu gani? Isijekuwa kwenye papuchi
 
Kanyoa mavuzi yote pia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Best πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Reactions: BAK
Huu uzi bila picha ni sawa na Wabunge bila Bunge
 
Nilikuwa na dreadlocks nilizotunza kwa miaka 9.
Nilizianza kwa mahaba, kwa kugharamiwa mno.
Nywele ilikuwa traaaam ileeee.
Nywele ilikuwa inapeeeendwaaa ileeeee.

Kuna kipindi I went through hell, vuruuuuugu, mapito ya kiwehu haifai.
Katika kitu nilijua nikikiondoa kitanipa mtazamo mpya juu ya maisha, mapenzi , mwonekano binafsi ni kuondoa zile nywele.

Nilitaka kudare kufanya kitu nilikwishaapa sitakuja kufanya. Hata iweeeeje.
Nilitaka kuvuka duara langu la uthubutu.
So it was a dare or die decision.

Dreadlocks zenye budget ya si chini ya 100K kwa mwezi, bidhaa za kuzitunza, uzuri wa ile nywele.
Halafu miaka 9, zilikuwa ndefu, Nene, rangi nyeusiiii, nzitooo, yani traaaam.

Siku nikatoka kazini, paaap!
Nikapita saloon.
Nikazikata ,nikaweka dawa, nikaweka rangi.

Wakati nazikata waliokuwepo saluni najumbuka mmoja alilia, alikuwa Radhi anilipe njsikate.
Ila kulikuwa hakuna kitu nilitamani kufanya for my inner peace kama kukata zile nywele.

So I cut them off.
Na nilizjkata kata kiasi hazikufaa kufanyiwa chochote.
I just wanted to end its era and everything.
Usingizi niliolala hiyo siku anajua Mungu.

Nazikumbuka sometimes, ila sijutii.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Best we injinia soma hiyooooo! Kwani hujasikia ME wanaonuna kisa GF/Mke kanyoa vuzi lote!? 😜😜😜

Best πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Nywele zina uzuri wake jamani, tena kama sisi wenye sura za baba ukinyoa unaweza shangaa hata mwanaume hasimamishi tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimfanyeje mke wangu jamani anyoe nywele? Haiingii akilini nimeishi na mwanamke more than 7 years halafu sijui akinyoa anakuaje..! Mimi nataka anyoe nimuone anavyokua yeye anasema eti ana kichogo, mara sijui nini.. yaani kila nikileta hiyo mada ni ugomvi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Best we injinia soma hiyooooo! Kwani hujasikia ME wanaonuna kisa GF/Mke kanyoa vuzi lote!? 😜😜😜
Hahahhahhahahhaa umenikumbusha kesi zisizokuwa na akili ila zina akili!

Vile hiyo ni kesi kubwa sana.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…