Hahahhahhahahhaa umenikumbusha kesi zisizokuwa na akili ila zina akili!
Vile hiyo ni kesi kubwa sana.
Ila kuna relationship ni shidaaaa!!Umeona eh!!!! ππππ Ugomvi mkubwa kabisa kisa mke kanyoa vuzi π€£π€£π€£π€£π€£ Niliwahi kusikia ugomvi mkubwa kabisa hadi kikao cha marafiki wa karibu sana Mume kanuna kisa mkewe kamwambia ana nyege anaomba apelekewe moto. Jamaa kanuna kabisa eti kama nisingekuwepo ungempa nani K? πππππ€£ lakini baadaye ikaja julikana yule mama mrembo sana aliyeumbwa akaumbika kila eneo kumbe alikuwa anampa utamu dreva wake.
Ila kuna relationship ni shidaaaa!!
Sasa kumwambia mtu unavyojiskia ni tatizo?
Wooooih?
Acha agongewe tu.
Ndo akome.Jamaa alikuwa na michepuko mingi sana hivyo akirudi home amekaukiwa anadai kachoka kazi nyingi ππππ si unajua tena vingunge. Mpaka hiyo siku mke alipomtolea uvivu kudai haki yake.
Itakuwa nayo imenyolewaπ€π€
Nywele ndefu hata mimi zinanikera sana π‘π‘π‘Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu
Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati ya vitu vilivyonivutia na vinavyonivutia sana kwa mke wangu kwakweli ni nywele zake zilivyo ndefu na natural na yeye pia analifahamu hili manake nimekua nikimuambia mara kwa mara.
Ninunulie mimi mkuuMnunulie wigi la natural
Case closed [emoji41]
Ni kweli,bi dada kafanya kosa..kafanya maamuzi bila kumshirikisha mume wake.Mtoa mada upo sahihi kabisa.
Alipaswa akushirikishe hasa kama huwa unamweleza namna unavyozipenda nywele zake. Mbali na kunyoa hata kama alitaka kuweka dawa ilipaswa akushirikishe. Sisi wengine tunawashirikisha wapenzi wetu hadi mitindo tunayotegemea kwenda kusuka ili watuchagulie mmoja au watushauri.
Wanaume wengi wanapenda sana nywele, na kitu mwanaume anachokipenda kwa mwanamke sio cha kukipuuzia eti kwa madai "kama ulinipendea nywele" anatakiwa ajue yeye ni pambo /ua kwa mumewe anatakiwa awe kwenye namna ambayo mume wake anapenda cha msingi mume awe anatoa huduma.
Bleach si hata ndefu unaweka tu[emoji1787][emoji1787]Anataka apake bleach nini[emoji28]
Poleh sana
[emoji118]Duh! Labda alichoka kusuka..ata kama alichoka na ananywele ndefu si angekuwa anazibana tu,Sitokuja kufanya hili kosa...wengina mibichwa yetu kama tenga,tukinyoa tunakuwa kituko.