Mke wangu amenyoa nywele na zilikuwa zinanivutia sana


Nilishakua na madem tofaut tofaut na wote walikua wananishirikisha kwenye swala kama ilo upo sahihi mkuu
 
Bleach si hata ndefu unaweka tu[emoji1787][emoji1787]

Kaamua..

Nywele zinachosha..mimi binafsi siwezi kukaa na nywele more than 4 years. Hapa sijanyoa since 2017 na muda wowote nazikata naanza upya.
Kweli zinachosha
Ndo mana lazma uchague styles zipi zinakufaa

km mwanaume wako anapenda nywele ndefu kuwa makini
 
Mtoa mada
Mweleze wife anapendeza akiwa na nywele na ungependa aanze kusuka tena..
 
Kiukweli inaudhi bro, Ila mfikishie isia zako politely bila shangwe, kwann wife lkn umetoa nywele unajua napenda unapokua na nywele zako and naskia faari ata tnapoongozana safarini...... Atafunguka Ila take it easy maisha yanasonga. Inaweza kuwa kapata ushaur seem au kuvunjwa moyo na ma do wenzie
 
Kwa hiyo wewe pia unapoenda saluni kunyoa uwa unamshirikisha
 
Kuna binadamu mnacomplicate maisha


Hata kunyoa nywele mpeane taarifa

Khaaa


Maisha mafupi haya wewe baba!!!!


Kwanza kuna kipindi minywele inachosha tu!!!
 
Yaani umeamua kumvuruga kabisa jamaa!!!
 
Reactions: BAK
Kama kanyoa na mavuzi jua kabisa kuna mhuni kapelekewa upara wa papa ausugue
 
Hapo tayari mdudu keshaingia kwenye embe…[emoji1614][emoji276]
 
Bleach si hata ndefu unaweka tu[emoji1787][emoji1787]

Kaamua..

Nywele zinachosha..mimi binafsi siwezi kukaa na nywele more than 4 years. Hapa sijanyoa since 2017 na muda wowote nazikata naanza upya.

Hakikisha tunajadili hili kabla uamue, tutaonana wabaya.[emoji36]
 
Demu anataka aanze kuchonga wei na vipanki fulani vya kisistaduu.
 
Pole
 
Bodaboda wake ndiyo anapenda awe na kiduku panki chenye way,huwa anasikia raha akimkaanga wa aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…