Mke wangu amesema amenichoka, amechoka na anaomba nimpe nauli aende kwao

Pesa kikwazo.. ila pia una kisirani ndio chanzo.
 
Hii mishe sikia kwa mwenzako unaweza ukaona Kama hadithi ila kadri siku zinavyoenda Mambo yanakuwa tofauti
 
Ulioa malaya
 
Mpe ticket na talaka, hizi fursa huwa haziji mara mbili. Kama ame kutamkia kabisa muache aende zake, kuendelea kukaa nae ataku sumbua huyo.
 
Sasa unasubiri Nini,mpaka akuwekee sumu kwenye chakula ndiyo uelewe,Mimi akisema anqtqkq kwenda kwao tu,fasta Nampa nauli nenda.
Kwanza Sina undugu nae,ni marafiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…