Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

Chakata tu hiyo mbususu mkuu maana kuna wengine hiyo hawaipati
 
Daha hata minashindw
 
Changamoto hii ya kuoa mwanamke mwenye kipato kukuzidi halafu anakuchukulia kawaida

Mwambie ki-amani tu "mke wangu kwa hilo unaninyanyasa ipo siku nitachoka" halafu uone atasemaje.

Ndoa ni taasisi!
 
Wewe ni mwanaume kweli , umeoa ,umeolewa ama mmeoana, mnapeana kampani ile kutoana upweke ama mnapeana financial support, ama umeoa cheo,elimu, utajiri wa kwao, umeoa network ya familia Bora
 
Msikilize mkeo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…