Mke wangu ametaja ALEX wakati tunafanya mapenzi

Mjuba tayari, alex kaishapita kwenye njia yako, itakuwa kasafisha vizuri, kakata mbuno za kutosha.. πŸ˜‚

Pole mzee.
 
ALEX ni nani ni sharobaro flani Hivi bodaboda wa mtaani kwetu ,niliwah kusikia kwa watu anachukua wake za watu ila sina uhakika.
 
Hawa watoto sijui niwafunde vipi,

Wajifunze kusema... yes yes yes au good au sweet hayo mambo ya kutaja majina wapi na wapi.

Msamehe tu mwanangu.

Akirudia ndo unirudishie,
Mtani haya mambo yanakuja automatically mtani
 
Hii Ni changamoto Sana Mkuu[emoji848]

Boda keshamla mkeo,
Kuna wapuuz watakuja kukushaur wakulaumiwa Ni uyo mkeo, Alex Hana tatizo kabisa usishughulike nae.

Ilhali alijua nn anakifanya
We mbona unataka kumfanyia kitu kibaya huyo barobaro wako,kwa nini usidili na huo mchepuko wako?unamshauri nini mwenzio
 
Samahani mkuu
Mimi naitwa Alexander. Ndiyo kanitaja mimi?
Kama mkeo ni yule mweupe, mnene wa wastani, kasuka lasta basi kanitaja mimi na sababu ya kunitaja ni mitindo ninayoitumia kumduu. Hata yeye kaniambia alijisahau akanitaja wakati mnaendelea na shughuli.
 
Hawa watoto sijui niwafunde vipi,

Wajifunze kusema... yes yes yes au good au sweet hayo mambo ya kutaja majina wapi na wapi.

Msamehe tu mwanangu.

Akirudia ndo unirudishie,


Madam, sasa mtu unakuta unampenda kwa dhati ya moyo na yeye pia halikadhalika mnajikuta wote wawili chemistry iko perfect [emoji106] utaachaje kumuenzi kwa jina kwa mfano?! [emoji39]

Raha ni ya kujiachia siyo kujipimia na kujisikilizia!

Anyway Hata hivyo nimekusoma vema katika ya mstari na nukta!
 
Hivi hawa kina Alex kwa nn wanapenda sana Wake za watu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 

Rudi kwanza om alafu utatupa mrejesho kuwa alex ndo huyo Boda au kuna mwengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…