Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yenyenwemkewangu kanitumia sms nying sana za kuomba msamaha nimepiga kmya,sauti ya kumtaja alex niliisikia kwa umakini mno ,
Hili NI Tatizo INGAWA ANAJIFANYA HALIONIWiki mbili haupo nyumbani na bado mchezo amekuomba yeye,Alex peleka moto
Huu ndo USHAUR wa kiume Sasa,sasa kama Alex ndo kiboko ya wake za watu yawezakuwa ana mbinu za kirussia mkeo alishindwa kuchomoa kwake brother . Tafuta namna ya kuupata ukweli na kudeal na Alex kadiri iwezekananavyo na kama na ikiwezekana kuleni marinda zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ilivyo uwezi kumdanganya MUNGU basi huwezi kujidanganya mwenyewe Moyo tu utaumaMi naona hapo tarizo siyo alex kumega mkeo. Tatizo ni elex kujulikana kwa tabia ya kula wake za watu. Kwanini usiashumu tu wife alitaja jesus ukasikia vibaya ili uupe amani ya uongo moyo wako ndugu
🤣🤣🤣Yess baby AM HERE...
💕💕💕💕💕
#YNWA
Mi nataka wewe unioe..ndoa yetu haitakuwa na masharti...full rahaNa hizi ndio NDOA ZENU.
Mkiambiwa msioe MNAKUA WABISHI NA KEJELI JUUU.
Acha YAWAKUTE....
MSIOE mtakufaaaaaaa
#YNWA
Mkataba wa mwezi mmoja nadhani UNATOSHA.Mi nataka wewe unioe..ndoa yetu haitakuwa na masharti...full raha
Atakuletea maradhi hapo pamoja na VVU.. Ovyo kabisa huyoRudisha kwao malaya huyo.
Usijali na mimi napenda hivyoMkataba wa mwezi mmoja nadhani UNATOSHA.
Ndoa za mkataba nadhani ni Tamu sanaaa.
#YNWA