Mke wangu amezidisha dharau

Mkuu hapa umelalamika kitoto sana huyo mkeo lazima akudharau tu. Kwa utoto huu jamaa watakutombea mpaka basi yaani.

Hujakaa kiume kabisa mtu wangu. Ishi kiume na mke atafuata maelekezo yako bila shida. Wanawake wanataka mwanaume mwenye kukemea na kumaanisha juu ya jambo siyo kumiliki tu dushe ndo ujione mwanaume.
 

Wimbi la wajinga kuoa wake za watu limekua kubwa.

1.Usioe mwanamke uliemtoa kwenye mahusiano strong, hapo tunasema umenyang'anya mtu mke wa ujana wake na ipo siku ataondoka.

2.Usimbembeleze mwanamke kumuoa mpaka yeye atakapojiona yupo tayari kuolewa, hapa tunasema umeforce lazima udharaulike.

3.Usiwe plan B kwa mwanamke baada ya kutemwa na Kipenzi chake cha moyo, hapa tunasema umeonewa huruma lazima ulipie.

#Shule ya Sabatho ya Leo 👆👆👆
 
Mi naona tatizo linaanzia hapo kwenye kumchunga. Mwanamke hachungwi, wajibu wako ni kumlinda tu na umpe uhuru unaomstahili akishindwa kuutumia basi hakuwa na utayari wa kuwa kwenye ndoa.
 
Ukweli
 
Wanaume tunapungua wavulana wanaongezeka katika vitu vyote vinavyoonesha wew ni mwanamme ni kusimamia familia ako katika mahitaji yte muhimu ikiwemo familia kukaa kwenye mstari.
Hivi kweli ndoa yako na mke wako unaelala nae kitanda kimoja na kujifunika shuka moja unashindwa kumcontrol? Nasema hivi huyo sio mke abaki kuwa mzazi mwenzio.
Nitatoa ushuhuda kidogo
Jirani yangu kaoa mke mrangi mtoto mweupe kweli kweli jamaa akawa anatamba yeye ndiye ana mke mzuri mtaa mzima watu wakawa wanamlia tu timing kibaya zaidi mke alivoona anapendwa akaota mapembe mwisho wa siku mkewe akaanza kuchapiwa sasa hivi ninavyoongea mmewe ana presha kila mara hospitali.

Sasa na wewe mwanamme mwenzangu kama unataka presha endelea na maisha yako.
 
Hakika boss umenena vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…