Mke wangu ana gubu sana

Mke wangu ana gubu sana

We ndo una gubu. Unasema we pia ni mtu mzima ila kiukweli akili zako ni za hivyo hivyo.

Hicho unachokilalamikia ndo love language yake ila umeshindwa kumuekewa.

Anajitahidi uelewe kuwa yeye amekupenda jinsi ulivyo. Kitambi chako hakimuumizi kichwa, usijitese mm mkeo nimekulidhia. Ulivyo na akili ndogo unasema gubu .

Kuhusu ilo la style ya mnyanduano, apo anajaribu kukuambia ume improve , at least unapiga show za kihuni hadi tunafika kileleni. Wewe ulivyo tia maji unazani ana ku mind Kwa umalaya!!

Anyway, uncodding women love language ni mtihani Kwa wanaume wengi.

Mimi nilifundishwaga hii lugha mapema sana. Ndo maana Kila msichana tinaekuwa nae kwenye relationship, lazima aniambie why hakunijua mapema.
 
H0ngera mkuu..
 
Hiyo nayo Inaleta Chachu kwenye mapenzi yenu fika mahali mpuuze tu [emoji1] awe hawezi kuishi na mwingine Bali wewe tu...
 
Kama ana gubu na unampenda siyo kesi inavumilika, ila ishu ni kama ana gubu na upendo kwake huna.
 
Kama kichwa cha khabari hapo Juu Kinavosema, nimeoa nina mke na mtoto mmoja Ila hii ndoa nahisi Kuanza kuishindwa kwasababu ya GUBU la mke wangu.

Nb: Leo sijaweka 0 kwenye o 😂
Wewe na yeye wote watoto. MWANAUME HAWEZI ANDIKA "BUANA" So tatizo wewe na mwenzio hamna tofauti ndo maana anakuona ni size yake yaani hamna tofauti.
 
Endeleza mazoezi peleka moto kwa ustadi na staili yako pendwa punguza ulaji wa sukari usijibishane nae hasa kwa sms pia anza kuwa bize na mambo ya imani ,..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom