Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna kadi mpya za kliniki siku hizi? Kadi za Kiliniki zamani zilikuwa na jina la mtoto tu basi, sijaziona mpya zenye majina ya Baba na Mama kama hizi anazozisema huyu bwana hapa!!!!.
Tiba
Mimi nipo bize na clinic my kaka ujue nakaribia kukuletea anko, Hata huu uzi nakosa lakusema, maana mtu mwenye ndoa kadi mbili si kujichosha bure, basi masingle lady itabidi wawe kadi tano lol.
Mtoto hajazaliwa bado, kwa hiyo inayoongelewa hapa ni kadi ya Clinic (ya ujauzito) ya mke wake...sasa naona hapo kaandikisha ubini wa mume wake kwenye kadi moja na ubini wa huyo mwingine kwenye kadi ya pili
Watu masumbuka bure hapa na ku symphasize na huyu jamaa wakati story yenyewe ni ya kutunga tu.
Tiba
heee wachaa wee yaan tayar 'm' kafanya yake
Aisee yasije nikuta mimi maana mmoja wetu pekee ndo ataishi
Kama humjui aliyekupa mimba inakuwaje?
Tiba
Hajachelewesha, kaona vijana wanimendea akasema isiwe shida.
Mkuu jua kabisa wewe si babakijacho .... miaka minne ya ndoa bila mtoto... na hapa mach 2015 ujauzito ukapatikana na baada ya hapo Mungu alivyo mwema kakuonyesha baba mwenzio...
So ushaur hapo ni kushirikisha ndugu zako wa karibu wakushauri zaid... binafs mie tafuta kipimo cha DNA then uchukue maamuz baada ya results zake kutoka
Inawezekana ana mimba ya mapacha mmoja wako mwengine wa huyo jamaa mwingine
haina shida lakn vijana wanaopenda vya moto wapo...
Tutamsaidia kulea mimba
Piga photocopy, au scan au zipige picha zote 2. Then usiku akiwa kasha lala bandika kuta za nyumba-ndani na nje ya nyumba. Then kula buyu kama huoni vile na kama hufahamu kinachoendelea.
Hapa lazima aweweseke kinomaaa kwa siku 5 na wala job(kama ana kazi) hataenda.
Baada ya siku hizo na blah blah zake atakazo kwambia, msikilize ila usikoment ktk maongezi yake.
Piga simu kwa baba mkwe au mama mkwe, kwa miguu yao bila kuwakilishwa na mtu afike au wafike wote.
Uwe tiyari kupima DNA kama kinga ya ndoa yako. Tahadhari pima Hospitali mbili tofauti ww binafsi kimya kimya kama una uwezo wa kutia mimba.
Majibu ya DNA yakiwa tofauti na Genisi zako jua imekula kwako (ingekuwa ndoa changa, tungesema alikuja na mzigo kwako).
Uamzi hapa ni kupiga raia huyo chini.