jayval babere
New Member
- Aug 23, 2024
- 1
- 16
Hivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabadilika nini? Rangi, sura, tabia, au kimo?Hivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
Sio wote huwa wanabadilika kuwa mpole tuu ni mimba yake ya ngapi?Hivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
Kwanza una uhakika ni yako? Obvious hakuwa tayari kubeba mimba yako.Hivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
Tukiwambia tumsome vizuri na kumwelewa Natafuta Ajira tunakaza fuvu.Hivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
Swali zuriKabadilika nini? Rangi, sura, tabia, au kimo?
Eleza vizuri usaidiwe namna ya ku-deal naye.
Akubali tu kuwa mtumwa......huyo demu anamfanyia Drama kwa kuwa anajua msela hana optionsNinakuelewa. Kama huna busara utamuacha kweli.
Vumilia, mpende na msaidie katika hali yake
Vipi bro hakupi mbususu? Alafu wajuzi ebu semani mimba ya miezi mingapi mwisho kumgegeda mkeoHivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
Mimba ya jirani hiyo au ulimlazimisha kubeba sasa anakukomoaHivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
Hakika kwel wew ni bush doktaKwanza una uhakika ni yako? Obvious hakuwa tayari kubeba mimba yako.
100%. Wanaume tuliojikomboa kifikra kwenye ukoloni wa mwanamke ndio tutaelewana. Vilaza wengine waache tu.Mimba ya jirani hiyo au ulimlazimisha kubeba sasa anakukomoa
Watu wanafumua mpaka miezi tisaa asee,Kuna watu wanapenda maku mbaya mbovuVipi bro hakupi mbususu? Alafu wajuzi ebu semani mimba ya miezi mingapi mwisho kumgegeda mkeo
Miezi 7,ingawaje kuna wakunga walikuwa wanatuambia tuwapelekee moto mpaka siku ya kwenda kujifunguaVipi bro hakupi mbususu? Alafu wajuzi ebu semani mimba ya miezi mingapi mwisho kumgegeda mkeo
You are correct joana sasa akutanane na Mbunye Oriented Men anatamba anavyotaka.Sijawahi kuwa na mimba lakini NAHISI wanawake wanatake advantaje ya kuwa na mimba kama kigezo cha kuvumiliwa tabia zozote watakazoanzisha huku wakitegemea kuvumiliwa kwa hali yao
#NoOffense
Usimuache, mpe muda akasubilie kwa wazazi wakeHivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.