Mke wangu ana wiki 4 mwezi sasa tangu kujifungua, hatuna mpango kupata mtoto hivi karibuni

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Mada imejieleza wakuu.

Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa.

Kwa sasa anaonekana amesha pata ujauzito. Tulitumia p2 ikawa bado mwezi unayoyoma haoni period.

Nilitumia p2. Je, atumie tena p2? Msaada.

Katika history mke wa jamaa angu aliambiwa kwa kuwa mkewe alijifungua kwa operation asibebe mimba
Wakwangu ndio imemtokea anabeba tena. Alitakiwa leo tarehe 5 aione MP yake menstruation period ila kimya. Msada kabla haijafika mbali. Ni.mwezi sasa 2 or three weeks

Amezaa kwa operation msaada
 
Umenikera,
Nisamehe mkuu..but why...baby analimisha tendo mm sina jinsi.. tuomkoe malalamiliko yawe baadae.

She might go to sergion tusaidie please. Je p2 can help??
 
Mwanamke aliyejifungua Na ananyonyesha Vyema, inaweza kufika hata Miezi 6 asione aiku zake. Kunyonuesha ni Njia ya asili ya Kuzuia mimba.

Karibu Ukubwani, Yale Maghorofa walikwambia KUA UYAONE, NDIO HAYA SASA.
 
Mwanamke aliyejifungua Na ananyonyesha Vyema, inaweza kufika hata Miezi 6 asione aiku zake. Kunyonuesha ni Njia ya asili ya Kuzuia mimba.

Karibu Ukubwani, Yale Maghorofa walikwambia KUA UYAONE, NDIO HAYA SASA.
My first and second baby wanaposhana one month please usitumie experience.. nina watoto kama mapachq ila wamezaliwa ndani ya muda wa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…