Mke wangu ana wiki 4 mwezi sasa tangu kujifungua, hatuna mpango kupata mtoto hivi karibuni

Msaada wenu tuokoe uhai. Bado ni three or two weeks help please
Kwanza utafute kipimo cha mimba mkeo apime ukijua kama ana mimba nenda famasi elezea tatizo lako utapata suluhisho kwa dawa za vidonge.

Ushauri, muda mwingine kama mke wako hawezi kufata kalenda mjitahidi kutumia njia za uzazi wa mpango
 
WAKUU MMETOA USHAURI WA KITAALAMU.

asante sana
 
Apime kwanza mnajipanikisha hujui mwanamke anaenyonyesha haoni siku zake....unakuja kuwa aje
Amepuimma nin2 weeks pregnant ila lazima afanyiwe operation ila alifanyiwa servery few weeks ago ka hivyo lazima.kutoa mimba... two.weeks atatakiwa anywe p2 inatosha.?

Hapa naomba jibu moja

Anyway p2 au kitu gani baaas sio maneno mengi
 
My first and second baby wanaposhana one month please usitumie experience.. nina watoto kama mapachq ila wamezaliwa ndani ya muda wa mwezi
Mkuu watoto wanawezaje kupishana 1 month WAKATI mtoto anakaa tumboni for almost more than 9 months

Mke kajifungua may be after 1 month kapata mimba, hiyo mimba itakaa 9 months Ndio aje kuzaliwa new baby

Hivyo age difference between two kids haiwezi kua 1 month Mkuu may be 10 monthly may be mjamzito angekua na mtoto tumboni kwa 1 month 😁
 
Mkuu hujakutanana hii hali. Ndio maana madkr watahusika japa
 
P2 navyojua kazi yake kuzuia mimba na sio kutoa mimba, mimba ishatokea p2 haina msaada tena.
Na kwanini unahangaika na jf wakati vituo vya afya viko kila mahali, unaonekana we ni lijamaa libishi bishi.
 
Dogo mwanamke akijifungua anaweza kaa miesi 2 hadi 6 pila kuingia mp.

Lakini pia vema apime kama kanasa tumia rapid pregnancy test kanauzwa buku tu.

Ikitokea kanasa nakushauri aache maramoja kumnyonyesha na tumia maziwa ya ng'ombe na uji, na akifika miezi 2 mpe uji wa rishe mixer na maziwa. Kama atanyonya maziwa ya mama ake mwenye mimba Kwa muda mrefu basi jiandae dogo atadhoofika kiafya na kuchelewa kukomaa viungo vya mwili na kushindwa kufanya matendo kulingana na umri wake.
 
Msaada wenu tuokoe uhai. Bado ni three or two weeks help please
Sasa mkuu wakati unamwaga ndani hukujua kama unahatarisha uhai? Nenda hospital kamwone dokta na ujiandae kitukanwa kama mtoto mdogo
 
Dogo mwanamke akijifungua anaweza kaa miesi 2 hadi 6 pila kuingia mp.

Lakini pia vema apime kama kanasa tumia rapid pregnancy test kanauzwa buku tu.

Ikitokea kanasa nakushauri aache maramoja kumnyonyesha na tumia maziwa ya ng'ombe na uji, na akifika miezi 2 mpe uji wa rishe mixer na maziwa. Kama atanyonya maziwa ya mama ake mwenye mimba Kwa muda mrefu basi jiandae dogo atadhoofika kiafya na kuchelewa kukomaa viungo vya mwili na kushindwa kufanya matendo kulingana na umri wake.
Asante sana
 
Huko ndio kutindiganya, poleni sana hili nalo mvuke
 
Back
Top Bottom