Mke wangu ana wiki 4 mwezi sasa tangu kujifungua, hatuna mpango kupata mtoto hivi karibuni

Mke wangu ana wiki 4 mwezi sasa tangu kujifungua, hatuna mpango kupata mtoto hivi karibuni

Samahani ila niseme tu mkeo ni mjinga, baada ya kujifungua hakupewa elimu ya uzazi wa mpango?
 
Ajiunge na uzaz wa mpngo mi nilipojifungua tu nikaweka kipandikiz japo ziko njia nyingi aende clinic atashauriwa inayomfaa
 
Back
Top Bottom