Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalea ugomvi. Mwambie shemejiyo aishi hapo kama mgeni mkirimiwa, kama kuna jambo wenyeji wake haliwapendezi aache..
 
Tatizo linaanzia kwako anafuata shemejio be a man unaonekana unampenda shemejiako maana mwanzo mwisho unatetea anayofanya badala ya kukemea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote watatu mna makosa:-
1.kosa la mkeo ni kushindwa kutambua na kutimiza majukumu yake kama mama mwenye nyumba maana inaonekana hata kabla ya shemeji kuhamia hapo, house girl ndio alikuwa akitimiza majukumu mengi ya mkeo.

2.kuruhusu urafiki wa karibu mno kati yako na shemeji hata kupelekea kutoka out ukimwacha mkeo nyumbani, hii si sawa na ndiomana imepelekea shemeji yako kutozingatia umuhimu wa yeye kuwa na mipaka kwako na kumtii mkeo maana anachukulia masihara.

3.Japo kukufungulia mlango usiku, kuandaa chakula na hata kukupokea mizigo sio jambo la ajabu sana lkn kufanyika mara kwa mara na shemeji yako inaleta maswali kwasababu wahusika wapo ambao ni mkeo na h/g.
Shemeji ni mgeni hapo hivyo hana mamlaka yoyote kwa mkeo hivyo asivimbe kichwa na kuanza dharau.

Mtafutie mtaji afanye hata biashara ambayo itamfanya asishinde nyumbani na kupunguza mapishano.
Inaonekana mkeo hajawahi kukupa huduma unazozipata kwa shemeji, mweleze mkeo au tafuta rafiki yake wa karibu amweleze kuwa ndoa hainaga mazoea.kama anashindwa tu kumpokea mumewe au kumuandalia chakula basi ni yeye ndio anayekaribisha matatizo.
 
Mpeleke shemeji yako kwa wakwe zake, mpeleke kwenu akamsubiri huko mmewe. Kusema ukweli hata mimi nisingekubali. Hasa mwanamke kama huyo mwenye kimbelembele, unafikiri yeye hana matamanio, kuna siku mtavunja amri ya sita msipoangalia.
unafikiri bado hawajafanya? anajionea aibu tu kuandika hapa.

Iweje mke wake wa ndoa awe na lawama zote hizi, afu shemeji awe na sifa nzuri zote hizi?
 
wewe ungemkula??
 
Mekupenda buree!!!

sio mijitu mingine inamuhukumu mwanamke na kusema wanawake hawapendagi ndugu wa mume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mtu umefadhiliwa halafu analeta kiburi eti yeye ajishushe kwani ni mdogo kwangu yaani yupo kwa watu halafu na kiburi juu, hapo lazima pawake moto yy ampeleke ukweni kwake amsaidiye akiwa ukweni ili akili imsogee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa wanawake hawapendani lakini kwa hili hapana aseme tu ukweli kama wanamzunguka mwenzao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kabisa nia yako ni njema kumsaidia kaka kwa kutunza familia yake, ila huo uhadithiaji wako tu nina mashaka kama kaka yako atamkuta huyo mke kuwa ni wake bado...khaa...
Mimi muda wote nasoma hii stori nacheka tu kwa jinsi jamaa anavyotuchuuza [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Undugu hauishi je akimbandua mke wa kaka yake vipi hqpo undugu utakuwaje! Yeye amwambie shemeji yake ukweli pale sio kwake hivyo afuate masharti ya pale mbona yeye kashindwa kukaa mwenyewe kwake asimvunjie nyumba mwenzie hata mmewe akisikia mke wa mdogo wake kaondoka kisa mkewe wanakulana na mdogo wake nini kitatokea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kabla ya kuja huyo shemeji yake si alikuwa kalidhika na hiyo hali kwanini iwe sasa aseme tu na ameshampenda asimsingizie mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie angepakua siku mbili siku ya tatu anarudi nilisha msafirisha na wanae ukweni kwake akakae na wakwe zetu huko hana adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba akinguruma hakuna takataka yoyote itakayo kaa mbele yake

asante

Nakwenda_Zimbabwe
 
Huyo dada anachofanya ni kama kumshukuru shemeji yake kwa mema anayomfanyia yeye na watoto wake!!! Ebu tuache kuwa na negative perceptions.....unafikiri kuishi nyumba ya watu ni kitu rahisi eeenh????
Ndiyo mpaka kufungua ma gate usiku saa6 tena nightdress kwa mme wa mwenzio? Kama una mme sizani kama utamponda mwenye mme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…