Hilo ni dongo la billion 1 na laki 8 tu tajiriii🤣Kwa mwanaume kuambiwa na mkeo humkojozi, wanawake huwa hawaelewi hili suala ni kama umempiga mtu na kitu kizito kichwani kama tani 7 hivi.
Unadhalilika kwa hali ya juu sana, please msitumie haya maneno kwenye ugomvi.
Watu wamekwambia kwa staha kwavile humu hata watoto wamo watafute wakubwa huko mtaani wakujuze style, (mbinu), za kuchimba mgodi hadi aone kama siyo wakwake hadi asubuhi akiamka aimbe nyimbo ukiona mke haimbi nyimbo asubuhi ujue hujafanya kitu usiku 😆Mkuu this is serious ase! Shida yangu ni mtoto tu maana nmeshaona hakuna haja ya kukaa na mtu miaka mitatu hasemi shida yangu na kibaya zaidi aniambie tangu akutane na mimk kwa mara ya kwanza sikuwahi kumridhisha yaani directly anamaanisha sikuwahi kumkojoza inamaana kuna mtu ambae huwa anamridhisha.
Kwenye ndoa hili tatizo ni real na kuna watu linawatesa.🤣🤣🤣 Huyu kaja kutuchora Mkuu!
Haiwezekani amtoe mtoto wa watu kwao halafu hajui namna ya kumuhudumia haja zake.
Usiachane nae mwanawane....wee mwambie tafuta ex wako ambaye alikuwa anakugegeda vizuri mwalike nyumbani mpige threesome wee uangalie ni namna gani jamaa anamridhisha mkeo.Habarini?
Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"
"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.
Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.
Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.
Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?
Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.
Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.
Ahsanteni
Dawa zipo. Ila pamoja na mbinu/dawa hizo, kumridhisha mwanamke ambaye ameshakutoa moyoni ni kazi sana.Kwenye ndoa hili tatizo ni real na kuna watu linawatesa.
Harafu uwe na kiuno laini unakuwa unamkoroga ndani mle ndo unasikia ulitaka kuniua mana sijui nilihisi Niko dunia ingine haya mambo hayaji bila juhudi binafsiHalafu humo ndani kuna nyama nyama zinazo washa washa,mke akisafisha mgodi anazigeuza direction ndiyo maana mdau ameshauri usimamie kama unavyo endesha baiskeli kwenye mlima, hahaha 😂
Tatizo unamridhisha mtu kwa kutumia dawa inayodumu kwa muda halafu ukute ana mtu anaemridhisha na hatumii dawa aani always yuko fit,naona hilo litakuwa tatizo kwanguDawa zipo. Ila pamoja na mbinu/dawa hizo, kumridhisha mwanamke ambaye ameshakutoa moyoni ni kazi sana.
Hapana!Hyo namna angeniambia yeye kwasababu mimi namna yangu ndyo imeshindikana mkuu
Hafanyi mazoezi atakuaje na kiuno laini, hahahaaHarafu uwe na kiuno laini unakuwa unamkoroga ndani mle ndo unasikia ulitaka kuniua mana sijui nilihisi Niko dunia ingine haya mambo hayaji bila juhudi binafsi
Sasa hilo tatizo si utalihamisha kwa mwingine na yeye hatakwambia kwa sababu anajua madhara yake..Mkuu this is serious ase! Shida yangu ni mtoto tu maana nmeshaona hakuna haja ya kukaa na mtu miaka mitatu hasemi shida yangu na kibaya zaidi aniambie tangu akutane na mimk kwa mara ya kwanza sikuwahi kumridhisha yaani directly anamaanisha sikuwahi kumkojoza inamaana kuna mtu ambae huwa anamridhisha.
Unaweza ambiwa mwaume surualiHarafu uwe na kiuno laini unakuwa unamkoroga ndani mle ndo unasikia ulitaka kuniua mana sijui nilihisi Niko dunia ingine haya mambo hayaji bila juhudi binafsi
anakupenda sana na ndiyo maana yuko radhi hata kukushirikisha jambo hili muhimu sana la kuiimarisha ndoa, huyo usimwache tafadhali,Habarini?
Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"
"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.
Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.
Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.
Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?
Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.
Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.
Ahsanteni
Tatizo unamridhisha mtu kwa kutumia dawa inayodumu kwa muda halafu ukute ana mtu anaemridhisha na hatumii dawa aani always yuko fit,naona hilo litakuwa tatizo kwangu
Sema huyo/hao muhuni/wahuni nikimpata/nikiwapata,nahakikisha ubongo hana/hawana. Watu tunatumia gharama sana kutunza hizi familia.Kukuambia tu haumridhishi it means she belongs to the streets
It's not your duty to sexually satisfy a harlot is the duty of the streets
hapana Hela ipo mazoezi muhimu tuliocheza mpira tunaelewa lile zoezi la kushika kiuno la kuzungushaUnaweza ambiwa mwaume suruali