Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Sio wote wewe😜😜
 
Sasa kaa nae chini
Muongee nini anapenda nawe unapenda
Muyatende

Mujaribu mapya yapo mengi, ingia online muyasome. Videos za mafunzo zipo nyingi pia YouTube.

Maisha aendelee, Furahia amekuambia ukweli.

Hongera sana kuwa na mke mwema, usijisikie vibaya. Kubali kubadilika utamkuta ulikuwa haupati ile raha ya cloud 9.
 
Wanawake hawajawahi kujua wanataka nini.
Ukifanya hizo foreplay unaitwa lamba lamba. Kuna mwenzenu niliona andiko lake akisema hio lamba lamba hataki ye anataka kupelekewa moto haswa.

Ukipeleka moto ipasavyo unasema hata uende round 4 huwezi mfikisha popote.

Mnatuchanganya sana kwa kweli.
 
mwanaume wa kweli, unahakikisha unamkojoza kisha wewe ndo unamaliza. kwani wewe miaka yote hiyo hujui kama unamridhisha AU humrithishi? huo kwako ni udhaifu kutokujua hilo mapema
acha kupanic tafuta solution. Zipo
una umri gani?
 
Mkuu pole Sana but take it as a lesson. Utofauti wa huyo shem na wengine ni kafunguka. Swala la kukojoa kwa ke ni mahaba kwa ujumla na sio penetration km wadau wengi wanavyosisitiza Hadi kushauri mcongo. Jua namna ya kuzitumia vema parts za mwili wake, kwa mtiririko mzuri na kwa muda wa kutosha. Most men ni wabinafsi ktk mahaba na bahati mbaya hua hawajui sayansi ya orgasm ya ke wakidhani idadi ya mabao ndio kuridhisha. Be ready to learn. Waweza hata kutumia mitandao mf. YouTube mcheki Alex Grendi, Helena Nista, Marni your personal wing girl Kevin Anthony & Celine Remy wanaweza kukusaidia sehem ya kuanzia, as long as ni mke wako huna budi kumridhisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…