ha ha ha ha ha usikute unamla tigo wewe ... speed zimekatika
Akijamba na ww jamba,inakuwa ni sehemu ya michezo yenu km wanandoa ivyo hutoona kero tena
Kujamba raha ati! Bana ushuzi uone utavyopata shida na kukimbilia kwa ndugu dakitari, lol
kijambo kina raha yake jaman,
ukikinusa mwenyew...
±sio siri mi napenda nijambe nijiachie mwenyeweeee kwa raha zangu
Sinywi wala sivutiUlikunywa viroba vingapi kabla ya kuomba ushauri hapa???
kaka pole kwanza
ila kama mnaelewana na mkeo hili pia la kujambajamba nina uhakika kwamba ulikua unalijua kabla ya kuoana mana kama mna miaka miwiwili katika mapenzi ni wazi kwamba mnajuana kwa aslimia 40
kama hili la kujamba halikuwepo tangu mwanzo limeanza karibuni jiulize kama ulikua unakula 0713 au kinini kimemsababisha kujambajamba
swali la kujiuliza kubwa ni kwamba
Huko kujambajamba alikuja nayo kwako au imetokea tuu ndani ya mapenzi yenu?
apana me aikuwa ivo bana mambo ya kawaida 2 namna wapenz wanavyoish kila m2 kumsimlia cjui ushamba, cjui ulimbukeni, kaah! Ata mama mkwe kusimliwa 2navyoishi! Hahahahahaaaaa nimecheka sana
ndugu wana mmu,
nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help