Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Akijamba na wewe jamba, ngoma droo, stress free
 
mimitungi unaweza ukaona huko kujamba ndio kosa kubwa, ukashindwa hata kuona mazuri ya huyo mkeo. Lakini kuna watu wanatamani mke wao hata angekuwa anajamba hovyo tu, lakini wasiwe na tabia nyinginezo.

Point taken
 
Last edited by a moderator:
nina dawa yake tafadhali muache aje nikae nae wiki moja yaani mwenzi mmoja. No. i mean mwaka mmoja tu halafu akirudi utaona atakavyokuwa. Jipe utayari tafadhali.
 
Ulitaka ajambe mbele ya nani..!!!! ukiwa na mumeo/mkeo ni kujiachia kwa kila kitu, mashuzi ikiwa mojawapo.
 
Kama anaachia non stop, usipuuzie...aweza kuwa na tatizo kubwa.
Wakati niko shule, roommate wangu alianza tabia ya kuachia hadi wote tunashindwa, tunatoka nje kupunga hewa... badae tukamshauri aende kwa dokta, alionekana na matatizo ambayo alitumia dawa na hali ikarudi kuwa kawaida...

Kama ni non stop peleka huko akaangaliwe kitaalam, waweza fanya utani kumbe mwenzako tumbo lake lina tatizo.
 
Ulikunywa viroba vingapi kabla ya kuomba ushauri hapa???
 
kaka pole kwanza
ila kama mnaelewana na mkeo hili pia la kujambajamba nina uhakika kwamba ulikua unalijua kabla ya kuoana mana kama mna miaka miwiwili katika mapenzi ni wazi kwamba mnajuana kwa aslimia 40
kama hili la kujamba halikuwepo tangu mwanzo limeanza karibuni jiulize kama ulikua unakula 0713 au kinini kimemsababisha kujambajamba
swali la kujiuliza kubwa ni kwamba
Huko kujambajamba alikuja nayo kwako au imetokea tuu ndani ya mapenzi yenu?
 
mke/mume akikuficha ki2 kidogo 2 lyk kujamba ujue kuna mengine makubwa zaidi anakuficha
under ceterius paribus ie.2o much z harmful.ushauri,akijamba na wew jamba.
 
kaka pole kwanza
ila kama mnaelewana na mkeo hili pia la kujambajamba nina uhakika kwamba ulikua unalijua kabla ya kuoana mana kama mna miaka miwiwili katika mapenzi ni wazi kwamba mnajuana kwa aslimia 40
kama hili la kujamba halikuwepo tangu mwanzo limeanza karibuni jiulize kama ulikua unakula 0713 au kinini kimemsababisha kujambajamba
swali la kujiuliza kubwa ni kwamba
Huko kujambajamba alikuja nayo kwako au imetokea tuu ndani ya mapenzi yenu?

Just amanizoea mpaka anakosa ustaarabu
 
apana me aikuwa ivo bana mambo ya kawaida 2 namna wapenz wanavyoish kila m2 kumsimlia cjui ushamba, cjui ulimbukeni, kaah! Ata mama mkwe kusimliwa 2navyoishi! Hahahahahaaaaa nimecheka sana

basi ue huyo mshikaji wako ni kti ya wale waliozaliwa hopitali wakakuia maghorofani,sio kama sis tuliozaliwa sokoni tukakulia stendi
 
ndugu wana mmu,
nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

kujamba ni hali ya kawaida kwa bidamu ni moja ya upumuaji na ndio maana mungu akiweka kujamba kuwepo alifanya hivyo makusudi ili kuweza kufanya watu wapumue.
Kwa watu waliofanyiwa operation daktari anakushauri ujambe kabla hujapewa ruhusa ya kula chochote kile,hapo unaona umuhimu wa kujamba
kama utamwacha mke kwa kujamba hayo ni matatizo yako binafsi na ikiwezekana basi mwache mke kwa kutoa jasho na hewa pia kupitia mdomoni ama puani
 
ushauri wa nini sasa wakati umesema umeamua kuacha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom