Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
pouwa pouwa tukutane wapi mi nimevaaa gauni la kitenge ndefu mpaka chini nimenyoa na nywele
ngoja nitafute chobingo....sasa gauni la kitenge kwani waenda kufundisha?
hapana hiyo ndo yakutokea wikiend tu
Hakikisha linabana vya kutosha na liwe na mpasuo wa haja...
halibani bwana umbo languu la kichaga inanibidi nifichi mpasuo wa haja siwezi mkuuu kama una gari nitavua kitenge changu nitavaa tishirt na chupi tu,,... huwa natembea na tshirt kwenye pochi
Si bure una lako jambo, umekaa naye mpaka mmepata mtoto ndo vijambo vinakukwaza?
Hahaha....sasa tshirt na pichu ni vazi gani hili....
Huyo ni kama anaku beep kuna maungo huyashughulikii, hebu mshughulikie tatizo likiendelea nipigie au watsup 0754804807Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
ndo utaliona rafiki we me siogopi kama utaona aibu itakubidi unifanyie shoping
sio kuzitoa zote ndio itafaa zaidi......
itategemea na hali yako kwa wakati huo
I'm game all the time baby.....
Ha ha ha aya u call me baby?
I just did.....