Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Hakikisha linabana vya kutosha na liwe na mpasuo wa haja...

halibani bwana umbo languu la kichaga inanibidi nifichi mpasuo wa haja siwezi mkuuu kama una gari nitavua kitenge changu nitavaa tishirt na chupi tu,,... huwa natembea na tshirt kwenye pochi
 
we mawe umekuja kumjambisha mke wako huku tabia yake? ila ok ushauri wangu muweke kifaa cha kuzuia sauti na harufu kwenye kijambio ili mdumu kwenye ndoa.
 
halibani bwana umbo languu la kichaga inanibidi nifichi mpasuo wa haja siwezi mkuuu kama una gari nitavua kitenge changu nitavaa tishirt na chupi tu,,... huwa natembea na tshirt kwenye pochi

Hahaha....sasa tshirt na pichu ni vazi gani hili....
 
Huyo ana gongwa Tigo huko nje mchunguze kwanza anajampa coz nati zimelegea kule kunako..... Jidanganye anapumua sasa wakati wenzio wanampumulia kisogoni!
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
Huyo ni kama anaku beep kuna maungo huyashughulikii, hebu mshughulikie tatizo likiendelea nipigie au watsup 0754804807
 
Yaani we kweli mgomvi, yaani vyoooote umeona hii ndo weakness!!! Kujamba inaonesha unawajibika sana kununua vyakula na anshiba. Komaa na usilegeze kamba maana siku akiacha kujamba akiwa kwako atatafuta wengine wa kumjambisha kwa chakula ulichomzoesha.
 
Ikifika stage ya kujamba kitandani ndani ya shuka mlilo jifunika myache
 
Ninakumbuka baada ya kuoa tu babu yangu aliniita na kuniambia kamwe nisije nikatoa matizo ya mke wangu hadharani na hata kama ni kikojozi nimtunzie siri zake nita mwamba akuite na wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom