Ubahili wako unasababisha ujambiwe sana. Unamlisha nini mtoto wa watu usiku, ukute makande, ugali, viazi vitamu. Badili menu mzee mwenzangu, usiku uliwe wali samaki, matunda, viazi ulaya. vitu laini mzee, utashangaa. Halafu ukome kumsema mkeo humu Jf unatuhabisha na wanaume wenzio.