Mke wangu anamwambia mama yake kuwa kanishika, wanatangaza mtaani na maneno tunayojadili ndani mimi na yeye nayakuta nje

Ujumbe mtamu na ulioshiba Kama huu
Unaweza kuandika ww na ma-genious tu

 
Tatizo vijana mnaoa wake ambao hata hamjawachunguza vyakutosha ndo matokeo Yake hayo
Pole Sana kijana
Bible ilisema ''TUISHI NAO KWA AKILI'
 
Amekushika kweli ndio maana umekuja kumzungumzia humu
 
Tafuna mama mkwe anza kumsifia yeye nzuri kuliko mwanae,halafu mnunulie dazani ya bikini.lazima atoke nduki kwako utakua umemaliza mchezo
 
Tafuna mama mkwe anza kumsifia yeye nzuri kuliko mwanae,halafu mnunulie dazani ya bikini.lazima atoke nduki kwako utakua umemaliza mchezo
Mama mkwe hakai kwangu anakaa kwake na mmewe Bali mtoto wao ambae ndio mke wangu hupenda kwenda kwao maana sio mbali Sasa kule kwenda kwako ndo kwenda kuweka vikao vya umbea na mama yake
 
Huyo ni ex wa 4 years back
Sio jambo la kuanza sasa

Hongera sana!

Kuachwa ukaachika ni bahati flani hivi. Vivyo hivyo kuacha akaachika.

Ukiwa na kimavi ukapatana na king'ang'anizi utakoma. Mara atishie "nitajiua ukiniacha", mara nyingine anakufuatilia nyendo zako, akikukuta ume-chill na chombo kipya anakufanyia fujo...inakuwa mapenzi ya chuki. Eti "haina kuisha hiyo!".

Heko Sana Joanah. Enjoy "new testament".

Wishing you the best.

50thebe
 
Ni kweli ndugu, ule mtaa una mamwinyi wengi sana.

Sure. Pia mtaa una Guest nying kinoma. Hata mleta thread inaonesha hana hela. Hivyo huduma nyingi za familia yake zinatoka kwa mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…