Mke wangu anamwambia mama yake kuwa kanishika, wanatangaza mtaani na maneno tunayojadili ndani mimi na yeye nayakuta nje

Mke wangu anamwambia mama yake kuwa kanishika, wanatangaza mtaani na maneno tunayojadili ndani mimi na yeye nayakuta nje

Ujumbe mtamu na ulioshiba Kama huu
Unaweza kuandika ww na ma-genious tu

Kakushikaje kwanza?kama kakushika kwa kufanya wajibu wake km mke basi ni vizuri ila kama katumia nje zake binafsi za waganga wa ista na wa bagamaoyo basi hapo ni balaaa...


Kuhusu kutangaza ni udhaifu wa wanawake wengi,wakipata mwanaume anayeonekana wa maana machoni pake na kwa watu basi wachache sana wanaweza kuvumilia kutotangaza mahusiano yao kwa watu Baki.Asipo tangaza utaona anavyoringa na kujiona wa thamani kuliko wenzake

We unadhani wanaume wanaokaa na marafiki kupanga mipango ya maendeleo ni wajinga???walisoma mchezo wakaona mke wa kutunza mambo sina na ndo nishamuoa hivyo ni mwendo wa kufanya maendeleo ya kustukizana tu.Ukitaka kununua kiwanja we unamwambia tu juma pili kuna sehemu tunaenda,ikifika j2 asubuh unamwambia tunaenda kununua kiwanja na hapo ukitoka tu kwenda kuoga, utakuta keshapiga simu kwa Shoga ake ile safari mume wangu aliyoniambia tunaenda,kumbe ya kwenda kununua kiwanja’Mapema sana kifua Hana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ishi nao kwa Akili,mapungufu ya mwanamke siku zote ni madogo machoni pao na machoni pa jamii lkn makubwa machoni petu wanaume.

Unakuja na million 5 ndani tayari keshatuma Msg.Shooooo baba michael leo kaja na maburungutu ya hela sijui kayatoa wapiii yaani nyumba inanuka hela tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787],Yule nae kamsimulia mumewe jambazi,mmevamia mnapigwa mmeporwa.

Mwanamke asiye na siri atasababisha ulogwe,uibiwe,udhulumiwe,udharauliwe,utongozwe hovyo yaani ni mtihani sheheee
 
Tatizo vijana mnaoa wake ambao hata hamjawachunguza vyakutosha ndo matokeo Yake hayo
Pole Sana kijana
Bible ilisema ''TUISHI NAO KWA AKILI'
 
Habari wakuu,

Nipeni ushauri juu ya huyu mke amekuwa na tabia kuwa jambo tunalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndugu zake.

Ndugu hao hao wa ndani wanayaleta na ukiangalia ni kweli kabisa Jambo nilijadili mimi tu na mke.

Pasi na hivyo hayo yote anayojadili na mama yake ni ya kujitapa kuwa wamenishika na bado Sasa maneno yananifikia na ni ya kweli kabisa maana ni mambo ambayo nakua nimejadili mimi na mke tu

Sasa hao wengine wanayajuaje naamini mke ndie anaemwambia mama yake!
Tafuna mama mkwe anza kumsifia yeye nzuri kuliko mwanae,halafu mnunulie dazani ya bikini.lazima atoke nduki kwako utakua umemaliza mchezo
 
Tafuna mama mkwe anza kumsifia yeye nzuri kuliko mwanae,halafu mnunulie dazani ya bikini.lazima atoke nduki kwako utakua umemaliza mchezo
Mama mkwe hakai kwangu anakaa kwake na mmewe Bali mtoto wao ambae ndio mke wangu hupenda kwenda kwao maana sio mbali Sasa kule kwenda kwako ndo kwenda kuweka vikao vya umbea na mama yake
 
Huyo ni ex wa 4 years back
Sio jambo la kuanza sasa

Hongera sana!

Kuachwa ukaachika ni bahati flani hivi. Vivyo hivyo kuacha akaachika.

Ukiwa na kimavi ukapatana na king'ang'anizi utakoma. Mara atishie "nitajiua ukiniacha", mara nyingine anakufuatilia nyendo zako, akikukuta ume-chill na chombo kipya anakufanyia fujo...inakuwa mapenzi ya chuki. Eti "haina kuisha hiyo!".

Heko Sana Joanah. Enjoy "new testament".

Wishing you the best.

50thebe
 
Ni kweli ndugu, ule mtaa una mamwinyi wengi sana.

Sure. Pia mtaa una Guest nying kinoma. Hata mleta thread inaonesha hana hela. Hivyo huduma nyingi za familia yake zinatoka kwa mke.
 
Back
Top Bottom