Ujumbe mtamu na ulioshiba Kama huu
Unaweza kuandika ww na ma-genious tu
Unaweza kuandika ww na ma-genious tu
Kakushikaje kwanza?kama kakushika kwa kufanya wajibu wake km mke basi ni vizuri ila kama katumia nje zake binafsi za waganga wa ista na wa bagamaoyo basi hapo ni balaaa...
Kuhusu kutangaza ni udhaifu wa wanawake wengi,wakipata mwanaume anayeonekana wa maana machoni pake na kwa watu basi wachache sana wanaweza kuvumilia kutotangaza mahusiano yao kwa watu Baki.Asipo tangaza utaona anavyoringa na kujiona wa thamani kuliko wenzake
We unadhani wanaume wanaokaa na marafiki kupanga mipango ya maendeleo ni wajinga???walisoma mchezo wakaona mke wa kutunza mambo sina na ndo nishamuoa hivyo ni mwendo wa kufanya maendeleo ya kustukizana tu.Ukitaka kununua kiwanja we unamwambia tu juma pili kuna sehemu tunaenda,ikifika j2 asubuh unamwambia tunaenda kununua kiwanja na hapo ukitoka tu kwenda kuoga, utakuta keshapiga simu kwa Shoga ake ile safari mume wangu aliyoniambia tunaenda,kumbe ya kwenda kununua kiwanja’Mapema sana kifua Hana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ishi nao kwa Akili,mapungufu ya mwanamke siku zote ni madogo machoni pao na machoni pa jamii lkn makubwa machoni petu wanaume.
Unakuja na million 5 ndani tayari keshatuma Msg.Shooooo baba michael leo kaja na maburungutu ya hela sijui kayatoa wapiii yaani nyumba inanuka hela tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787],Yule nae kamsimulia mumewe jambazi,mmevamia mnapigwa mmeporwa.
Mwanamke asiye na siri atasababisha ulogwe,uibiwe,udhulumiwe,udharauliwe,utongozwe hovyo yaani ni mtihani sheheee